Hivi mkuu haya uliyoandika yametoka katika medula oblongata yako au umetapika????
Maana sielewi Kama mtu timamu mwenye medula oblongata inayofanya kazi anaweza kusema haya!!!!
INANIUMA SANA!!!!
Kwa kuwa una plan kujenga chumba kimoja weka bajeti ya tofali 400 hadi 500 inategemea Na Kiwanja kilivyo. Mabati matano, mbao 4*2 wastani 4 Na mbao 2*2 = 4. Nondo 2.
Anza Na hapo.
Inaonyesha nyie mnafahamiana.
Je Ni kwanini msipeane maneno mazito hayo huko mtaani mlipo kuliko kuja kujidharirisha hapa??
Inaonyesha wote mna Kasoro ktk medula oblongata zenu. Nendeni Muhimbili mkapimwe Na muanze dose mapema.
Je, Ina maana Na yeye siyo Askofu??
Aende akawashtaki walioandika jina lake na siyo kukana madhabahuni. Kwani naye amechanganya dini Na siasa.
Hata Yesu Na Yohane Mbatizaji walikemea viongozi wa siasa walipofanya ndivyo sivyo.
Je Askofu Pengo Ni zaidi ya Yesu au Yohane Mbatizaji???
SIPATI...
Duuuuu!!!!!!!
DSM imechafuliwa Kwa suala la mtu kutekwa!!!!!!!!
Kama Ni hivi mikoa yote Tanzania Ni michafu. Mbona matukio Ni mengi ya wait kupotea au wote wanatafuta Kiki za kufahamika????
Wapo wapi wale waliotangazwa kutoonekana kwani hata maiti zao hazijaonekana.
Mifano Ben Saanane...
Endapo mngechagua upande wa upinzani ndipo hiyo ahadi ingetekelezwa.
Hivyo Kwa SASA ridhika Na hii uliyotoa hadi kidato cha nne.
Njoo baada ya miaka mitano ndipo utoe hoja hii.
Today it's too late.
We Ni mchochezi Na mpika maneno.
Hivi kuna uhusiano gani Kwa hii mifano ya kisiasa uliyotoa Na upoteaji wa huyu kijana ??
Mbona haviendani au mwenzetu unataarifa za undani zaidi kwani hata kijana hajasema bado alikuwa wapi Na polisi alipoenda kuripoti Kyle Iringa hawajasema amewaeleza nn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.