Recent content by Mizam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

    Aisee! vyema sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilikopa Sh 5M kutoka Bayport, nimekatwa kwa miezi 6, nimeomba balansi wanasema imebaki Sh 9M, kivipi?

    Hiyo kawaida. Kwa miaka kumi, riba hua kubwa kiasi cha mara mbili ya kias ulichochukua. Milion5 kurudisha milion 12 kwa miaka 10 kawaida sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Zamani walikua hawataki ujinga. Vichwa vilikua sawa. Saiz umbea umbea tu na kujipemdekeza kiboya. Ushe.. nz na maujinga jinga tu mengi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya University of Science and Technology versus Massachusetts Institute of Technology

    Inasemekana makada wengi hutoka hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Na ka Dr. mnachomekea.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Usipoamini uwepo wa Mungu na uwezo wake, ni kujitoa akili na kujifanya punguani. Uwezo wa Mungu huwezi kuupima kwa akili zako hizo ambazo Mungu amezipa mipaka. Usifananishe vitu vya duniani kwa akili yako, na Mbiguni na akili ya Mungu. Mungu goes to infinity. Haihitaji justification ila ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Hata huku kwetu, Gwanamalundi alitembea juu ya Maji. Logic consistence itafutwe nankwa huyo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM raia wa hali ya chini walifurahia na kuona taifa lao limepata mkombizi. Sasa hivi wanaona taifa wanapigwa na wahuni

    Umapokuta taifa lipo katika ufisadi mkubwa, kama wa kipindi cha JK, kuliweka sawa inahitaji ngivu kubwa sana nanubabe jui. Kumbuka JK aliweka watu wengi kwenye system (ofcourse ninujanja wa mjin ili uwe godfather), Watu wale waliweka system ya kuwawezesha washkaji na matajili wakwepa kodi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM raia wa hali ya chini walifurahia na kuona taifa lao limepata mkombizi. Sasa hivi wanaona taifa wanapigwa na wahuni

    Ambao hamuelewi husema hivyo. Kama ulikua hulipi kodi, unadanganya/Unadanganywa tu danganya tu kule TRA, yeye alipoingia na dhamira ya taifa kujitegemea na uchumi wa kati, ilibidi watu walipe kodi na sio kuchangiana kwenye matamasha ma milioni then wapaye relief ya kodi, wakati hao hao hao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM raia wa hali ya chini walifurahia na kuona taifa lao limepata mkombizi. Sasa hivi wanaona taifa wanapigwa na wahuni

    Kasema kitu kilichowazi, walalahoi walipata nafuu ya maisha, mifumuko ya bei ya kulazikisha aliikemea. Sababu sababu za kuleta maisha magumu kwa watanzania kwa kisingizio cha Vita au anything global ambapo kwa wengine ni mwanya wa kupiga pesa alikemea na kuleta unafuu wa maisha kwa walala hoi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM raia wa hali ya chini walifurahia na kuona taifa lao limepata mkombizi. Sasa hivi wanaona taifa wanapigwa na wahuni

    Kwa hiyo kwa akili zako ni bora utawala huu au ule uliopota? Kwa manufaa ya Taifa na utaifa
Back
Top Bottom