Recent content by Mitchell

  1. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

    Hongera sana Ruby umechagua fungu lililo jema, kwa Mwenyezi Mungu hakuna linaloshindikana.
  2. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

    Asante kwa kushare Mkuu, i feel sorry for her jamani hapa nimekumbuka nyimbo yake ya "Be without you" liwe funzo hili inaumiza sana.
  3. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

    Shangaa na wewe Mkuu, yaani mtu asisaidiwe ishakuwa nongwa khaaa
  4. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu aliachana na Mke kwa kulala na Mkwe wake

    We kweli mwehu khaaaa
  5. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Weeeeeeeeeeeeeee
  6. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kidonda

    Kwa kweli watu wana roho ngumu sasa hapa mbona utakosa amani pamoja na hizo hela. Kwa kweli hapana
  7. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati hofu kubwa sana na changamoto nyingi maishani

    Kwa kweli hili ni changamoto tena kubwa.
  8. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Wenye vilio vya muda mrefu (Matatizo ya kudumu) tukutane hapa

    Asante kwa ukumbusho Mkuu, barikiwa
  9. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

    Kila mtu na afanye yale yanayompa furaha maisha mafupi haya... ila hapo kwenye figure wabongo kwa kuongeza sifuri hatujamboo 🤣
  10. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

    Amependeza tu
  11. Mitchell

    JamiiForums Tanzania Nifanye kipimo gani kwa mtoto wa miaka 11 anae zimia mara kwa mara nijue anaumwa nini

    Pole sana Mkuu Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kwenye kupata suluhisho la mwanenu, naelewa mnachopitia kama Wazazi.
Back
Top Bottom