Recent content by Misunderstood

  1. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Asante mkuu kwa kunipa moyo
  2. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Sasa si ndo wamejaza nafasi. Atahamaje hapo?
  3. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Sawa mpendwa nakuja
  4. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Sio ‘nature yangu’ ni ‘nature ya kazi yangu’ hakuna sehemu nayoweza kuhamishiwa huko mooa alipo
  5. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Mwezi huu ukiisha anafikisha miezi sita
  6. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Sawa mpendwa ngoja tusubiri afikishe huo mwaka kama kutakuwa na matumaini
  7. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Wapendwa habari! Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa...
  8. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Naulizia machinjio ya kitimoto Jijini Dar es Salaam

    Huko machinjioni wanauzaje kilo?
  9. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Nipo katika hii situation kwa sasa, mtoa mada nilimuona hajielewi ila kumbe mpaka yakufike. Dah
  10. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Amen Pastor😆😆
  11. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Amzika mwanawe akiwa hai apate ‘kudanga’

    Geita, Mwanza na Shinyanga Geita, Mwanza na Shinyanga Geita, Mwanza na Shinyanga Geita, Mwanza na Shinyanga Hii mikoa ina watu hatari sana, shida nini?
  12. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Kwakuwa ni Mwanza basi utalaumiwa umaskini ila ingetokea Kilimanjaro ambapo ni nadra mauaji kutokea hapa makelele yangekuwa mengi. Ukweli ni kwamba Mwanza na Shinyanga ndipo wanaongoza kwa mauaji si wanawake si wanaume, hatua zakupambana na hiyo zichukuliwe either kielimu kwa jamii au kiroho...
  13. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Pole mkuu! Wamekosa busara na hekima. Ila kiukweli watanzania tuna sifa nzuri sana nje ya nchi, kwa sehemu niliyopo (sio tz) ukisema wewe ni mtanzania basi utaanza kusifiwa kuwa watz wakarimu, wastaarabu nk. Tuzidi kudumisha hiyo tamadani ndugu zangu
Back
Top Bottom