Kwa mujibu wa taarifa za kiupelelezi, Dola la kiislamu la ISIL, maarufu kama Islamic state. Linampango wa kujenga himaya yake Afrika mashariki, hasa Tanzania, Ethiopia, Kenya na Somalia. Hii ni kutaka kuungwa mkono na kujitanua zaidi kwenye nchi za Afrika. Pia Dola hilo limekuwa likipanga...