Kukuuzia yani ununue ok, nilikuwa sijakuelewa, nilidhani umemanisha kukuuzia yani ww ndo unayo. Nayajua ila naonaga watu wanayauza mitandaoni kama instagram
Sija mislead anything na pia narudia tena kwa mara ya mwisho nimetumiwa hela kwa paypal akaunti ambayo ninayo na ninaitumia so kama nyie hamuwezi kutumiwa kwa paypal basi kwan mm nimewalazimisha. I answered the question that was asked, coz i used paypal all the time, unaujua uchwara au umekuja...
So u saying kujifunza jana pia ni kosa! Or u saying u know more and better than me coz umeanza kufanya ivyo since when exactly!? Years ago! Oh right ok or both? Well u are not needed here anymore coz it’s people like u that will never admit to anything and congratulation for doing/ knowing for...
Bye you’re obviously not hearing anything so bye, it’s useless talking with a mindless person. Things change sasa ww endelea kukremu ivyoivyo it’s impossible. And if it’s noted there was no need to repeat that it’s impossible, we hear you, it’s impossible naw let me wait for more people like u...
Oh my god! Dude if u are out of point tuishie tu hapa coz narudia tena the point au swali alilouliza uyo mtu hapo mwanzo ni kwamba anaweza kupokea hela kwa paypal ilo ndo lilikuwa swali na sio kufanya malipo online kwa paypal iyo ni topic nyingine kabisa. Na pia screenshoot yangu ukiangalia...
Then what’s the problem coz you can still receive money from paypal bila kuwa na akaunti ya xoom and also mm iyo xoom sijawahi itumia nimeiona from paypal email baada ya kupokea hela kwa paypal. Tunarudi tena to the point swali lilikuwa anaweza kupokea hela kwa paypal ni my experience yes if...
Tatizo ww unalazimisha nimepokea hela kutoka xoom wakati mimi sina akaunti ya xoom na wala siijui mm nimeona nimepokea email kutoka paypal ikisema kuhusu iyo xoom which they said in the email ni service ya paypal na mimi nina akaunti ya paypal so kama uamini nimekwambia jaribu tuone kama iyo...
I really don’t know, the point is nimetumiwa hela na nilikuwa nataka cash so to me nilikuwa nataka niitoe yote ili nifanyie mambo yangu na ndomana nikasema kama the point is uyo mtu anataka atumiwe hela kwa njia ya paypal na haende kuitoa inawezekana the rest i don’t know, that was the point and...
I just told u iliingia kwa paypal akaunti yangu salio lilikuwa mule so i don’t understand why it’s not possible wakati mm napokeaga kwenye akaunti yangu ya paypal na salio linasoma mule, mimi nina akaunti ya paypal na sina akaunti ya xoom so like u said paypal wanatumia iyo xoom ili mtu upokee...
Xoom is a paypal service na huyo mtu kanitumia hela kutoka paypal yake kuja kwenye paypal yangu sasa kama ww unaona haiwezekani sawa, the point is it’s possible kupokea hela kwa paypal. Kama uelewi basi coz naona u in denial. Iyo email hapo imesema kabisa hapo xoom a paypal service na mm iyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.