Jinsi ya kuweka hela kwenye Paypal account kwa M-Pesa Mastercard

Kiongoz je naweza poke hela yangu kwa njia hii??

Unaweza pokea, mimi natumiwaga kwa iyo njia na naendaga kutoa crdb coz ukitumiwa iyo hela wanakupa code na wanakwambia kwa email unatakiwa uende kutolea wapi. Mimi nimetoa mara ya mwisho july mwaka huu so inawezekana
 
Paypal Tz haipokei ela unless kama ni refund, ukitaka pokea ela paypal inabdi ucheat kama uko nchi kama kenya wakati unaifunua ila usipokee ela nyini wanaweza kuold account yako mpaka uverify details ulizojaza.

Mkuu inapokea naw days labda zamani kama ilikuwa haipokei. Mimi ndo njia yangu ya kupokelea hela iyo na naendaga kati ya bank wanazoniambia na napewa kwa teller kama ilivyo hamna makato yyte pia.
 
Mkuu inapokea naw days labda zamani kama ilikuwa haipokei. Mimi ndo njia yangu ya kupokelea hela iyo na naendaga kati ya bank wanazoniambia na napewa kwa teller kama ilivyo hamna makato yyte pia.
Mkuu paypal? Inapokea ela Tanzania????? No way. Na paypal unaenda chukua pesa bank kwa bankteller? Seriously? Au wewe waongelea western union na moneygram?
 
Mkuu paypal? Inapokea ela Tanzania????? No way. Na paypal unaenda chukua pesa bank kwa bankteller? Seriously? Au wewe waongelea western union na moneygram?

Paypal sijasema western union wala moneygram i know the different. Mimi nimepokea hela paypal kutoka usa wakanitumia email niende kutoa kati ya crdb, ecobank na icb.

IMG_0750.png
 
Paypal sijasema western union wala moneygram i know the different. Mimi nimepokea hela paypal kutoka usa wakanitumia email niende kutoa kati ya crdb, ecobank na icb.

View attachment 1553029
Hii ni huduma ya paypal lakini inafanya kazi zaidi kama western union siyo kama paypal hii tunayoongelea ambayo mtu unaweza fanya bishara online ukapokea malipo au ukatuma ela kwa rafiki akaipokea na kuiingiza kwenye account yake ya bank then akaidraw au kwa kenya akaihamisha safaricom mpesa.
Kama ni hii sawa ni Xoom nayo ni service ya paypal ila inafanya kazi kama western union au moneygram. Siyo paypal ambayo wengi tunataka iruhusiwe tanzania.
Countries/regions with the ability to send payments:
If you reside in one of these countries/regions, you have the ability to link a credit card to your PayPal account and send payments. You do not have the ability to receive payments.

  • Angola
  • Anguilla
  • Armenia
  • Aruba
  • Azerbaijan Republic
  • Belarus
  • Benin
  • Bhutan
  • Bolivia
  • British Virgin Islands
  • Brunei
  • Burkina Faso
  • Burundi
  • Cambodia
  • Cameroon
  • Cape Verde
  • Chad
  • Comoros
  • Congo, Democratic Republic of
  • Congo, Republic of
  • Cook Islands
  • Côte d’Ivoire
  • Djibouti
  • Eritrea
  • Ethiopia
  • Falkland Islands
  • Gabon Republic
  • Gambia
  • Guinea
  • Guinea-Bissau
  • Guyana
  • Kiribati
  • Kyrgyzstan
  • Laos
  • Macedonia
  • Madagascar
  • Maldives
  • Mali
  • Marshall Islands
  • Mauritania
  • Mayotte
  • Micronesia, Federated States of
  • Mongolia
  • Montenegro
  • Montserrat
  • Namibia
  • Nauru
  • Nepal
  • Netherlands Antilles
  • Niger
  • Nigeria
  • Niue
  • Norfolk Island
  • Papua New Guinea
  • Paraguay
  • Pitcairn Islands
  • Rwanda
  • Saint Helena
  • Saint Pierre and Miquelon
  • Saint Vincent and the Grenadines
  • Samoa
  • Sao Tome and Principe
  • Sierra Leone
  • Solomon Islands
  • Somalia
  • Sri Lanka
  • Suriname
  • Svalbard and Jan Mayen
  • Swaziland
  • Tajikistan
  • Tanzania
  • Togo
  • Tonga
  • Tunisia
  • Turkmenistan
  • Tuvalu
  • Uganda
  • Ukraine
  • Vanuatu
  • Wallis and Futuna Islands
  • Yemen
  • Zambia
  • Zimbabwe
 
The point is ameuliza kama anaweza kupokea hela kwa paypal, ww ukasema haiwezekani ndo mm nikakwambia inawezekana kupokea hela kwa paypal na unaweza kwenda kuitoa kama ilivyo cash. So if the point is to only receive money and withdraw it from paypal account it’s possible hayo mengine i think they were not the question here, so kama anataka kupokea hela anaweza, na pia kuna utofauti kati ya hizo western union na moneygram kwa paypal coz nilishawahi kupokea hela Kwa western union ni tofauti coz haiingi Kwa akaunti yako ya bank or anywhere ila PayPal inaingia Kwa akaunti yako uliyo register kwa app yao.
 
Haiwezekani hapo umepokea ela toka Xoom siyo paypal. Xoom unaweza ilink na paypal ukatuma ela yan funding source ni paypal, vile vile unaweza ilink na USA bank account, au mastercard moja kwa moja lakini ela siyo kwamba mpokeaji inaingia kwenye account yake ya paypal ndo maana unaenda ichukulia bank kama moneyram. Hata wewe hiyo screenshot yako ni kwamba umepokea ela toka xoom
So the answer is simple, huwezi kupokea na paypal account ya tanzania ukapokea pesa.
 
Haiwezekani hapo umepokea ela toka Xoom siyo paypal. Xoom unaweza ilink na paypal ukatuma ela yan funding source ni paypal, vile vile unaweza ilink na USA bank account, au mastercard moja kwa moja lakini ela siyo kwamba mpokeaji inainia kwenye account yake ya paypal ndo maana unaenda ichukulia bank kama moneyram. Hata wewe hiyo screenshot yako ni kwamba umepokea ela toka xoom
So the answer is simple, huwezi kula na paypal account ya tanzania ukapokea pesa.

Xoom is a paypal service na huyo mtu kanitumia hela kutoka paypal yake kuja kwenye paypal yangu sasa kama ww unaona haiwezekani sawa, the point is it’s possible kupokea hela kwa paypal. Kama uelewi basi coz naona u in denial. Iyo email hapo imesema kabisa hapo xoom a paypal service na mm iyo xoom siifahamu imekuja email from paypal ivyo so kama hao paypal wanatumia iyo xoom kurahisisha mambo ili mtu upokee hela, what’s the problem there?!
 
Kweli uelewi.
Paypal Holdings ina huduma ya paypal na Xoom
Kampuni ni paypal holdings huduma ni paypal kwa ajili ya commercial transactions na xoom kwa ajili ya non-commercial transactions.
Xoom inaweza kuwa funded kupitia paypal pia kama ambavyo wanaruhusu kufund account kibao tu za malipo mtandao kama upwork, freelancer, ebay na kwingine.
Ukipokea ela kwenye paypal inabidi iingie kwenye paypal account yako lisome salio, uwe na uwezo wa kutoa kidogo ukatuma au ukalipia bidhaa au ukaliamishia kwenye account yako ya bank. Sasa wewe hilo salio alijaingia kwenye paypal account ila umeambiwa ukalichukua kwenye pickup points kama moneygram.
Wewe huyo kakutmia pesa kwa Xoom ambayo ni moja wapo ya sevices za paypal holdings.
Unless unataka kubisha ila Tanzania haipokea pesa kutoka paypal as a transfer service ndiyo maana watu wanafoji wako Kenya wanatafuta line za safaricom kwanini waingie gharama zote hizo nami nikiwa mmoja wao.
BOT haijaruhusu hilo na imekuwa ni kilio chetu toka mwaka 2011 huko.
The problem ni kwamba freelancing huwezi pokea pesa kwa njia ya xoom, huwezi kuwa na online shop ulipwe kwa njia ya xoom, paypal service ina advantages nyingi sana kwa wafanya biashara mitandaoni wanaopokea malipo siyo kutumiwa tu na ndugu kama Xoom.
GLOBAL CITIZEN hebu njoo unisaidie kumwelewesha dada labda wewe atakuelewa zaidi.
 
I just told u iliingia kwa paypal akaunti yangu salio lilikuwa mule so i don’t understand why it’s not possible wakati mm napokeaga kwenye akaunti yangu ya paypal na salio linasoma mule, mimi nina akaunti ya paypal na sina akaunti ya xoom so like u said paypal wanatumia iyo xoom ili mtu upokee hela Kwa akaunti yako ya paypal then it’s still paypal iliyonitumia coz like u said paypal ina huduma ya xoom. Kama unaendelea kusema haiwezekani kwann usijaribu alafu tuone kama utapokea au la? Coz this talking is useless coz ww ujawahi pokea hela kwa paypal na mm nishawahi na ndomana i said it’s possible
 
Hii itakuwa ajabu sana Paypal Tanzania kupokea pesa maana hata wao wamelist Tanzania kama mojawapo ya nchi ambayo paypal haiokei ela and yes ukituma ela kwa mtu ambaye ana account ya paypal TZ ina bounce inakurudia.
So kama ni hivyo ni kwanini walikwambia ukaipick bank kama iliingia kwenye your paypal account?
 
I really don’t know, the point is nimetumiwa hela na nilikuwa nataka cash so to me nilikuwa nataka niitoe yote ili nifanyie mambo yangu na ndomana nikasema kama the point is uyo mtu anataka atumiwe hela kwa njia ya paypal na haende kuitoa inawezekana the rest i don’t know, that was the point and nimemjibu yy na ww coz ww umesema haiwezekani ndomana nikashangaa coz mm huwa napokea kwa paypal na kuzitoa bila makato yyte yale. Na ata hivyo ss hivi ni tofauti labda wameanza kuimprove huduma zao ili na sisi ambayo haifanyi kazi huku tuanze kuweza kupokea hela in one way or another kama zaman mtu akikutumia hela ilikuwa inabounce then naw inakubali coz aliyenitumia akupata ilo tatizo aliniambia nimtumie info zangu za paypal like email names na ninapoishi na hela ikaingia in mins. And also sidhani kama kuna njia yyte nyingine yakutolea pesa zaidi ya bank kwa paypal, coz it’s not like it’s a mobile money service. Hapo either bank au kama waki improve uirushe direct kwa akaunti yako yyte ya bank
 
I really don’t know, the point is nimetumiwa hela na nilikuwa nataka cash so to me nilikuwa nataka niitoe yote ili nifanyie mambo yangu na ndomana nikasema kama the point is uyo mtu anataka atumiwe hela kwa njia ya paypal na haende kuitoa inawezekana the rest i don’t know, that was the point and nimemjibu yy na ww coz ww umesema haiwezekani ndomana nikashangaa coz mm huwa napokea kwa paypal na kuzitoa bila makato yyte yale. Na ata hivyo ss hivi ni tofauti labda wameanza kuiprove huduma zao ili na ss ambayo haifanyi kazi huku tuanze kuweza kupokea hela in one way or another kama zaman mtu akikutumia hela ilikuwa inabounce then naw inakubali coz aliyenitumia akupata ilo tatizo aliniambia nimtumie info zangu za paypal like email names na ninapoishi na hela ikaingia ni mins. And also sidhani kama kuna njia yyte nyingine yakutolea pesa zaidi ya bank kwa paypal, coz it’s not like it’s a mobile money service. Hapo either bank au kama waki iprove uirushe direct kwa akaunti yako yyte ya bank
Anyaway atakuja mwingine akueleweshe, tatizo la paypal kutopokea ela tanzania siyo la kwao ni mfumo wetu wa Kibank, Equity ilivyokuja tanzania walianza offer hiyo huduma wakapigwa bati wakaacha. Siyo Tanzania tu hata Uganda na nchi nyingine. Kenya wako mbele sana hadi paypal unaweza itoa kwa njia ya mpesa na ndiyo maana watz wengi tunatumia kenya paypal accounts, then tukipokea pesa tunaihamishai huko tunairusha safricom mpesa then tunairusha vodacom mpesa. Na makato yanazidi.
Wewe umepokea pesa kwa nyia ya zoom, hukatwi kwasababu aliyetuma kakatwa yeye mara mbili kakatwa transaction fee na exchange rate yao inakuwa chini kutoka dollar kuja tshs hivyo wanapata faida na hilo wamekuandikia kabisa unapokuwa unatuma pesa.
Xoom pia unaweza tuma pesa kwenda safaricom mpesa, nimefanya hivyo kama njia ya kutoa pesa paypal pia. Kuna mahali mimi na wewe hatujaelewana ila paypal as paypal kama payment and transfer service kwa tz haipokei pesa. Siyo maneno yangu tu hata wao wameorodhesha nchi ambazo zinaweza tuma na kupokea na kutuma tu bila kupokea.
Humu threads pia zimejaa kuhusu hilo jambo.
Let us call it a day.
 
Tatizo ww unalazimisha nimepokea hela kutoka xoom wakati mimi sina akaunti ya xoom na wala siijui mm nimeona nimepokea email kutoka paypal ikisema kuhusu iyo xoom which they said in the email ni service ya paypal na mimi nina akaunti ya paypal so kama uamini nimekwambia jaribu tuone kama iyo hela itabounce coz u keep saying it’s impossible while mm natumiwa hela kwa paypal na kutoa bank and obvious it’s not free obviously uyo mtu anaye nitumia kuna makato anakatwa
 
Tatizo ww unalazimisha nimepokea hela kutoka xoom wakati mimi sina akaunti ya xoom na wala siijui mm nimeona nimepokea email kutoka paypal ikisema kuhusu iyo xoom which they said in the email ni service ya paypal na mimi nina akaunti ya paypal so kama uamini nimekwambia jaribu tuone kama iyo hela itabounce coz u keep saying it’s impossible while mm natumiwa hela kwa paypal na kutoa bank and it’s obvious it’s not free obviously uyo mtu anaye nitumia kuna makato anakatwa
Mpokeaji wa Xoom haina haja awe na akaunti Xoom atapokea details kama ana paypal account kuwa kapokea pesa aende kuipick kwenye cash out points au email elert. mtumaji ndiye lazima awe na account. Mtumaji ndiye anakatwa wakati kwenye paypal mpokeaji ndiye anakatwa kama ni commercial transaction.
 
Then what’s the problem coz you can still receive money from paypal bila kuwa na akaunti ya xoom and also mm iyo xoom sijawahi itumia nimeiona from paypal email baada ya kupokea hela kwa paypal. Tunarudi tena to the point swali lilikuwa anaweza kupokea hela kwa paypal ni my experience yes if kwako haiwezekani basi na yy kama ikishindikana basi but u can’t say something ambayo ujajaribu wala kuwahi so ndomana nikakwambia jaribu naw forget abt iyo xoom ingia kwa paypal yako alafu mtu mwengine nje ajaribu kukutumia tuone kama it’s impossible kuingia kwa paypal yako
 
Wewe kwakuwa unapokea ela kutoka kwa ndugu au family au friend huwezi kuona shida. Na technically hiyo pesa haijatoka paypal hata screenshot yako says it all japo hatujaelewana hapo pia.
Shida watu waliyonayo ni wale wanaofanya online business. A client will not pay you via Xoom kwasababu haina security ya pesa yake it was not meant for commercial transaction. Paypal is emant for commercial transactions na clients na online stores kama unayo watu wengi wanalipa kwa njia hiyo. Ndiyo maana ya wanaolia wengi humu kuhusu paypal hawalilii kupokea ela kutoka kwa ndugu maana kuna njia nyingi hata world remit wapokea ela mpesa au airtel nstantly, ila wanalilia kupokea ela toka freelancing na online businesses.
 
Oh my god! Dude if u are out of point tuishie tu hapa coz narudia tena the point au swali alilouliza uyo mtu hapo mwanzo ni kwamba anaweza kupokea hela kwa paypal ilo ndo lilikuwa swali na sio kufanya malipo online kwa paypal iyo ni topic nyingine kabisa. Na pia screenshoot yangu ukiangalia vizuri pale juu ni imetoka from xoom a paypal service so kama una kingine cha kusema ni bora tu ukae kimya coz u are out of the point. Narudia tena mm sijawahi kutumia xoom na wala siijui, nimeiona kwa email from paypal coz nina akaunti paypal na sio xoom na pia anaweza pia akatumia hizo huduma nyingine ulizotaja kama iyo world remit ila swali alilouliza ni kwamba anaweza kutumiwa hela kwa paypal, kutumiwa na sio kufanya transaction za online or whatever u mention. Stick to the point hayo mengine naona ni Njia yakukimbia the whole point coz hayo mambo yalikuwa sio swali lililoulizwa na sisemi ni vibaya ww kuwaambia watu but u should start ur thread for the whole agenda ili watu waelewe vzr kuhusu kufanya malipo online
 
Oh my god! Dude if u are out of point tuishie tu hapa coz narudia tena the point au swali alilouliza uyo mtu hapo mwanzo ni kwamba anaweza kupokea hela kwa paypal ilo ndo lilikuwa swali na sio kufanya malipo online kwa paypal iyo ni topic nyingine kabisa. Na pia screenshoot yangu ukiangalia vizuri pale juu ni imetoka from xoom a paypal service so kama una kingine cha kusema ni bora tu ukae kimya coz u are out of the point. Narudia tena mm sijawahi kutumia xoom na wala siijui, nimeiona kwa email from paypal coz nina akaunti paypal na sio xoom na pia anaweza pia akatumia hizo huduma nyingine ulizotaja kama iyo world remit ila swali alilouliza ni kwamba anaweza kutumiwa hela kwa paypal, kutumiwa na sio kufanya transaction za online or whatever u mention. Stick to the point hayo mengine naona ni Njia yakukimbia the whole point coz hayo mambo yalikuwa sio swali lililoulizwa na sisemi ni vibaya ww kuwaambia watu but u should start ur thread fro tha agenda ili watu waelewe vzr
Noted. Hata kutumiwa from paypal to paypal kama family au friend TZ haipokei pesa. Watakuja wengine watakueleza pia hili.
GLOBAL CITIZEN
Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
Nimewaita hawa labda watakuelewesha kuwa paypal tanzania haipokei ela iwe imetumwa kama ya familia au transaction ya service au biashara. Unaweza kutuma tu siyo kupokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom