Jinsi ya kuweka hela kwenye Paypal account kwa M-Pesa Mastercard

Noted. Hata kutumiwa from paypal to paypal kama family au friend TZ haipokei pesa. Watakuja wengine watakueleza pia hili.

Bye you’re obviously not hearing anything so bye, it’s useless talking with a mindless person. Things change sasa ww endelea kukremu ivyoivyo it’s impossible. And if it’s noted there was no need to repeat that it’s impossible, we hear you, it’s impossible naw let me wait for more people like u to come and tell me like u said watakuja kuniambia, I’m waiting as if I’m gonna waste my time to more mindless people like yourself
 
Bye you’re obviously not hearing anything so bye, it’s useless talking with a mindless person. Things change sasa ww endelea kukremu ivyoivyo it’s impossible. And if it’s noted there was no need to repeat that it’s impossible, we hear you, it’s impossible naw let me wait for more people like u to come and tell me like u said watakujakuniambia, I’m waiting as if I’m gonna waste my time to more mindless people like yourself
Okay thanks. Mimi si kremu nakwambiakitu ambacho nimeanza kukifanya for years. Watakuja engine wakueleweshe. Ningekuwa na kremu nisingeitwa nikuelekeze jinsi ya kufund account ya paypal kitu ambacho umejifunza jana wakati watu tunafanya hivyo miaka tu.
 
So u saying kujifunza jana pia ni kosa! Or u saying u know more and better than me coz umeanza kufanya ivyo since when exactly!? Years ago! Oh right ok or both? Well u are not needed here anymore coz it’s people like u that will never admit to anything and congratulation for doing/ knowing for years as if there is a price for that. Dude people learn new things everyday so if u saying asking to know abt things is dumb then congratulation again mr know it all. And also like u said u done it years ago how can you know if now it’s still the same!? Ndomana nakwambia acha kukremu vitu years ago sio naw.
 
I know better coz I have been using it miaka na miaka. Watu humu wantafuta solution ya kusolve hilo tatizo miaka na miaka. Ukielewa hiyo sentence iliyo kwenye screenshot yako "Xoom paypal seervice" basi utakuwa umeelewa mabishano yetu yanatoka wapi.
Wengine wAnd by the way, paypal inapokea pesa toka paypal. Yani kama wataka kumtumia pesa mtu lazima hata kama yatoka kwenye cardd au accound ipite paypal ndipo iende kwenye paypal account ya mtu.
Hata kama kulipa hivyo hivyo.
Na Tanzania Paypal account hazipokei pesa.
Wewe umetumiwa pesa toka Xoom na umeipokea Xoom kampuni hiyo ilikuwa acquired by paypal 2015 ilikuwepo before lakini paypal akainunua. Na Xoom ndiyo maana wanaichukulia kama alternative ya moneygram na western union.
Watakuja wengine watakuelewesha zaidi. Unakremu screenshot yako inakwambia Xoom paypal service wewe unasema paypal sasa mimi na wewe anaye claim ni nani?
 
Bibie acha ubishi na kubali kushindwa,
Paypal na Xoom ni zinatoa huduma 2 tofauti kabisa japo zote ni entities za Paypal Holdings,
Nafaka ameshaeleza yote hapo juu bado umeng'ang'ana na ujuaji wako uchwara

Xoom ni kama Western Union au MoneyGram, Na kwa Tz huwezi pokea fedha kwa Paypal unless iwe Refund

Kua makini bibie , ubishi wako una mislead watu kwa kutoa info zisizo na ukweli

Capture.PNG
 
So xoom ni kampuni ya paypal so it’s under paypal so ni kampuni inayofanya kazi za paypal so it’s in paypal so what’s your point?
 
Xoom ni kampuni iliyonunuliwa na paypal Holdings mwaka 2015 ikawa inatoa service ambayo ni kama moneygram au western union zinatofauti kidogo. Paypal holdings ina huduma ya paypal na Xoom. My point ni kwamba huduma ya paypal kwa tanzania haipokei pesa inatuma tu.
 
Bibie acha ubishi na kubali kushindwa,
Paypal na Xoom ni zinatoa huduma 2 tofauti kabisa japo zote ni entities za Paypal Holdings,
Nafaka ameshaeleza yote hapo juu bado umeng'ang'ana na ujuaji wako uchwara

Xoom ni kama Western Union au MoneyGram, Na kwa Tz huwezi pokea fedha kwa Paypal unless iwe Refund

Kua makini bibie , ubishi wako una mislead watu kwa kutoa info zisizo na ukweli

View attachment 1553246

Sija mislead anything na pia narudia tena kwa mara ya mwisho nimetumiwa hela kwa paypal akaunti ambayo ninayo na ninaitumia so kama nyie hamuwezi kutumiwa kwa paypal basi kwan mm nimewalazimisha. I answered the question that was asked, coz i used paypal all the time, unaujua uchwara au umekuja coz wat?
 
Let us call it a day. Maana na wengine watakuja wachangie pia.
 
Paypal Tz huwezi kupokea ela ndo maana sahz tuna hustle kupata laini sa Safaricom Kenya na mimi nikiwa mmojawapo. Kwa kuwa Kenya PayPal unaruhusiwa kutumiwa pesa ndo alternative yetu watz tunaofanya online business
 
Let us call it a day. Maana na wengine watakuja wachangie pia.
Nafak nikurudishe nyuma kidogo kuna item nashindwa zinunua bangood na kwingine reason ikiwa ni means of payment ambapo paypal inahitajika, nikona mpesa mastercard na airtel, niingie wapi kuweza kuruhus kuilnk hasa mpesa master card
 
Click wallett halafu link a card utaweka namba za mastercard ya mpesa au airtel halafu tarehe ya kuexpire halafu na CVV kisha watakata kwenye card euro 1.5 ambao ni refundable, hiyo transaction itakuja na msg zenye code ambayo utahitaji kuiweka paypal kwenye section ya hiyo card kuconfirm kuwa card ya kwako.
 
Kichwa kigumu aisee ata sijaelewa nisiwe muwaz wallet naipat wapi
 
Kama watumia app ya simu nenda kwenye kile kialama cha settings, kisha chagua bank acc and credit cards, halafu chagua alama ya +, halafu chagua credit card
 
Samahanini nauliza, hiv naweza nikafungua mpesa mastercard afu nikawa naitumia kufanya online purchase especially kwenye mambo ya non-physical services, kama kupurchase app fulan au kupata some other services of the same kind kama kulipia foreign number au kulipia VPN?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom