Recent content by Miss Precious

  1. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msaidizi Wa Kazi Wa Kuishi Nae Kama Mdogo Wangu/Ndugu Yangu.

    NIMESHAPATA. ASANTENI...
  2. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Wapi nitaweza kubadilisha dola za mwaka 2003?

    Nenda Bureau ya pale Msimbazi kwenye kona karibu na mataa ya Congo... Hawabaguagi jana tu nimebadili iyo dollar ya mwaka 2003. Inajaa watu sana nenda mapema
  3. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msaidizi Wa Kazi Wa Kuishi Nae Kama Mdogo Wangu/Ndugu Yangu.

    Habari Wana Jamii Forum... Kama Kichwa Kinavyojieleza Hapo Juu. Mimi Ni Jinsia KE, Umri Wa Miaka 23,Naishi Peke Yangu. Ni Mfanyabiashara. Nipo Dar es salaam. Nina Upendo na Najua Kuishi Na Watu. Natafuta Msaidizi Wa Kuishi Nae Ambae atakua anabaki Nyumbani Na Kusaidia Kazi Mbili...
  4. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Nauza Viatu Hivi

    Jumla ni kuanzia pc 5
  5. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Nauza Viatu Hivi

    Nauza Viatu Hivi Vya Kike Kwa Bei Chee! Nipo Dar es salaam, ila pia mkoani ninatuma kwa gharama ya mteja, ni Viatu vizuri na simple vyenye kupendeza na kuvutia kwa wadada hasa wanaoenda na fashion. Bei ni Elfu 7 Rejareja na Elfu 6 Jumla. Namba yangu ni 0655164257, Au Nicheck PM. Karibuni sana
  6. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi za yoyote halali

    Samahani kama nitakua nakosea, ila naingelea kitu ambacho ndio kinafanyika humu na especially Kwenye mitandao ya jamii Kwenye swala la maombi ya kazi. Unapopost tangazo lako la kuomba kazi, yule mtu anaetazamia kukuajiri kiukweli anaipekua sana profile lako kujua hata nusu ya mtu anaetaka...
  7. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Nimekutumia massage pm mkuu, .
  8. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi.

    Habari, Ninaishi Dar, nina umri wa miaka 23, jinsia KE, nina elimu ya chuo kwa ngazi ya Diploma Ya Ugavi Na Usafirishaji. Kuna sababu zilizo nje ya uwezo wangu kuendelea na chuo kwasasa. Nimeshawahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Telecommunication, [sikuwa na elimu iyo bali nilijifunza nikiwa...
  9. Miss Precious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    hakuna upendo hapo. achana naye
  10. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke aliyeathirika na virusi vya UKIMWI

    Mwenyezi Mungu Akujalie Hitaji La Moyo Wako.
  11. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Nahitaji girl friend

    badogo tu hadi leo[emoji32][emoji32] doh subiri mpaka pawe usiku maana bado asubuhu
  12. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    Embu WaTz ifike mahali tuache muda uongee.... wakujiandikisha wameshajiandikisha... na watakaoanza wameshaanza... tusubiri tu nyuzi zijazo juu ya ili Forex. Huyu Ontario kafikiria sana yaan, kafikiria zaidi mara ya kwanza alisema bure.!!....!???? Pia,alisema aliwahi kupoteza kwaiyo hata wewe...
  13. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Ninaandaa Na Kuuza Kuku Wa Kisasa

    Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Miss Precious

    JamiiForums Tanzania Ninaandaa na kuuza kuku wa kisasa

    7500/=......nakufanyia kila kitu unabaki kuwapika tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom