Helo natafuta mtu aje anifundishe jinsi ya kuchoma kuku na mishkaki kwa kutumia mkaa vizuri.
Nipo Dar yeyote anaeweza ani pm au kama kuna mtu yeyote unamjua anaeweza kunifundisha tafadhali naomba mawasiliano yake
Wakuu karibuni mnipe oda za kesho za makande matamu sana.
Kesho bei ya ofa makande tupu sh 2000 na delivery 2000 popote unakelewa yakiwa bado ya moto kabisa
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Makande ni matamu asikwambie mtu[emoji16]
Hello wapendwa karibuni mniungishe katika biashara yangu mpya nipo kutafuta mtaji wa kuanzisha catering ya kisasa ila nimeona nianzie huku kwanza.
Bei zangu ni kama hivi:
Makande + salad + parachichi kidogo bei 3500.
Makande + fried beef + parachichi kidogo bei 5000.
Kwa vile bado nafanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.