Dada angu,nakushaur piga moyo konde uachane na huyo mwanaume hafai,mwanaume mwenye mapenz ya dhat hawezi kumtukana na kumdhalilisha mpenz wake,em fikiria akikuoa itakuwaje ikiwa hapo ndo kwanza ni wachumba 2!
Sasa ni wakati wa kupiga got chini na kumwomba akupatie mume bora na sio bora mume...
div iv ya 28 hawachukui,isipokuwa 27 ndo wanaenda!kama upo vizur mpeleke akasome certificate yoyote kama bandari,veta,CBE n.k then bdae ataendelea had diploma na digrii.
Hee we mkaka ajabu,yaan bila ata aibu jamani,em jifikirie mara mbil mbil kama we ndo ungekuwa dem afu mchumba ako uliyedum nae kwa miaka 7 anakubwaga ungejiskiaje?usichopendwa kutendwa wewe usipende kuwatenda wengine!wenzio huwa hawaend kiivo.
mmnh!unaonekana sharo! Ok usikate tamaa mkaka,cha msingi uskate tamaa kwani wasichana wa sifa unazozihitaji wako wengi tu,ila huwezi kupata bila kumshirikisha Mungu akupe mke mwema,ikiwezekana funga na piga maombi ya nguv na uamini utapata huyo umtakaye,vinginevyo utabast kichwa kaka!Maana kwa...
mimi ni msichana mwenye miaka 25 ambaye nina mpenzi tunayependana sana ila tatizo ni kwamba,tukipiga mechi huwa napata maumivu makali sn,na tatizo hili hutokea baada ya mechi ya pili kuanza na kuendelea,ila mechi ya kwanza huwa nainjoy sana. Sio kwamba huwa siandaliwi la hasha!mpenzi wangu huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.