Habari wadau. samahani naomba kuuliza kama kuna mdau yoyote anaijua o COPRA (Cereals and Other Produce Regulatory Authority - Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko salary scale zao tafadhali naomba msaada
Habari wapendwa,
Jamani kwa wale watumishi wa Serikali, hivi mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa. Maana mimi binafsi nimeandika barua toka mwezi wa 12 mwaka huu 2023, mpaka sasa majibu sijapata na nikipiga namba za call center hazipatikani.
Na mbaya zaidi...
habari, sasa kama haupo kwenye mfumo wowote na wala check number, swali, mshahara walikuwa wanakulipaje unachukua cash au?
inaonekana hiyo taasisi A siyo Taasisi ya Kiserikali, ingekuwa ya kiserikali lazima uwe na chech number. ushauri wangu andika barua ya kuacha kazi masaa 24 na unarudisha...
Habari wapendwa, naomba muongozo.
mimi ni mtumishi niliyeajiriwa mwaka 2013 kwa kada ya katibu mahsusi, mwaka 2021 niliandika barua ya kuomba kuhamia katika taasisi ya Chuo kwa kada ya Katibu Mahsusi, na chuo ikanijibu kwa barua kwamba nafasi hiyo ipo ya katibu Mahususi. Nikafuata utaratibu wote...
Habari, ninachofahamu mimi ni kwamba kwenye ofisi uliyotoka unamfuata HR anayehusika na mfumo wa mishahara, yeye ataitisha faili lako kujiridhisha kama kweli umepata kibali cha kuhama, kama kupatikana na faili itakuwa shida, unamuonyesha barua ya uhamisho then atakuuliza check namba yako, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.