Recent content by miss linga

  1. miss linga

    JamiiForums Tanzania I have lost six wives to AIDS

    anatakiwa amshukuru mungu sana
  2. miss linga

    JamiiForums Tanzania Kweli dunia imeisha

    kazi kweli kweli jamani, tunaelekea wapi wanadamu jamani?
  3. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    ni kweli mwenzangu unaweza ukajitahidiiiiiiiiiii weeeeeeeeeee ila kama mtu hiyo ni tabia yake kumbadilisha ngumu,mimi sijamnunia ila mwenyewe ajiamini kwa ukimya wangu.
  4. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    ni kweli madame X ila unafikiri ata kama bado anamahusiano nae anaweza kukubali?ngumu sana hiyo!!!!
  5. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    mmmmmmmmmh hilo nalo neno KING'ASTI,hivi inawezekana kweli?hahahhahah ngumu sana hiyo kwakweli.
  6. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    Asante sana.
  7. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    that is the point CAMARADERIE,asante.
  8. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    asante dear hakuniambia mwaya si unajua dunia hii nilitonywa na mtu tu,mwenyewe alikua anaogopa ata jinsi ya kuniambia.
  9. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    mume wangu mapenzi hajapunguza,na wala anidharau ata kidogo,kunitambulisha hajanitambulisha,kumfahamu huyo dada simfahamu,kumuuliza nimemuuliza ameonyesha kujutia kosa ila siwezi muamini tena.
  10. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    sisi wote ni wakristo,na huyo mwanamke amezaa nae tu.asante kwa ushauri.
  11. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    mmmmmh,pole nawe,yaani ni balaaaaaaaa lazima akili ikose muelekeo hapo maana inauma kwakweli.
  12. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    sawa nitafanya asante sana.
  13. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    wa kiume
  14. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    asante sana!!
  15. miss linga

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    Habari ya kazi wa JF?mimi ni mwanamke wa miaka 28 nimeolewa na nina watoto wawili wa kike wa kwanza ana miaka 6 na anaemfuta ana miaka 4,juzi nimegundua mume angu kazaa mtoto mwingine na mwanamke mwingine mtoto ni mdogo kuliko wangu,nimechanganyikiwa jamani sijui ata la kufanya,ni bora ata huyo...
Back
Top Bottom