Recent content by miss chuga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada napata hedhi mara kwa mara baada ya kuchoma sindano ya uzazi wa mpango

    Habari wapendwa? Naombeni msaada nitumie dawa gani ili niache kublid maana toka nichome sindano nablid tu, nikipumzika ni siku 2 nablid tena yani bila mpangilio Naweza nikawa nimetoka zangu sina hili wala lile ghafla damu zinatoka pia nakosa na hisia za kufanya mapenzi siyo kama mwanzo kabla...
  2. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki aina ya TVS inauzwa Dodoma

    bado ipo vzur
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki aina ya TVS inauzwa Dodoma

    6 mbona upo chin sana sogea sogea naweza nikakufikiria
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki aina ya TVS inauzwa Dodoma

    habari zenu poleni na majukumu, nina pikipiki aina ya tvs inauzwa nipo dodoma bei laki 9 kwa anaye hitaji anichek pm kwa mazungumzo zaidi Karibuni
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kuacha hela ya matumizi

    hahahaha nimecheka tu hapo uliposema kidunchu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kuacha hela ya matumizi

    Ndiyo anaenda
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kuacha hela ya matumizi

    Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, swali langu ni kwamba je ni sahihi mwanaume kutokuacha hela ya matumizi nyumbani? Binafsi nina miezi miwili toka nifungue biashara ya mgahawa hata bado haijachangamka ila toka nifungue Mume wangu hataki kuacha hela ya matumizi kama mwanzo wakati...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    mmakuwa
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Yaani hakuna kitu kinaumiza Kama unapika akili yako yote unaiweka jikoni ili mmeo afurahie chakula halafu analambalamba anaacha na nina uhakika atakuwa anakula huko nje coz akija anakuwa na kitambi pia ana afya nzuri tu yaani kwa jinsi anavyogusa gusa chakula angekuwa Hali nje angekuwa na afya...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu. Bora mtu ubaki single.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Huyu hanywi pombe kabisa yani ananiumiza sana akili, kuna kipindi dada yake alikuja nikafanya makusudi nikamuomba anisaidie kupika nia yangu nimuone Kama akirudi atakula alichopika dada yake pia nacho hakula hapo ndo nilipozidi kuona kuwa Kuna tatizo mahali. Sasahivi nimeshakuwa Kama chizi...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Alikuwa anakula vizuri tu hii tabia imeanza tu sahivi
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    Habari zenu wapendwa? Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu. Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mrejesho kwa aliyewahi kutumia Goldie face cream

    Habari zenu wapendwa? Naomba mrejesho kwa mtu aliyewahi kutumia Goldie face cream, maana Mimi nina chunusi sasa nimeenda cosmetic wamenishauri nitumie hii face cream.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO: Simuelewi mume wangu

    Ngoja arud nimwambie anioneshe maana nimetafuta nyumba nzima sijaona dawa zozote zile nahisi hapa Kuna kausanii kanaendelea
Back
Top Bottom