Ni sisi aisee tumeteseka kweli mama mmoja alikemea kilokole baadae ikapiga mtikisiko mkali akanyamaza maombi. Ha ha ha nadhani akawaza wanae maana hata simu aliweka kwenye mkoba
Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda...
Dr.Nina tatizo la kuuma mkono wa kushoto ndani hasa ukila nyama hasa ya mbuzi na vyakula vingine vya aina hiyo.Nilishapima hospital hamna ugonjwa.Ni tatizo la zaidi ya miaka 9 sasa.Mkono mmoja tuu huuma.Ahsante
Wanajamvi,
Poleni kwa mkasa wa Mkurugenzi wetu wa JF.
Nimepita sehemu mbalimbali hapa nchini kutafuta fursa za kufungua vituo vya day cares.Nimesikitishwa kuwa Wizara haina vigezo vinavyotumika kwa kila Halmashauri kukagua hivi vituo.Maafisa wa Ustawi wa Jamii hawajitambui na wakati fulani...
Mbarawa punguza burden kwa wananchi ,huu utitili wa bodi ni mzigo kwa mlipa kodi.Ukiwa na ujenzi wa ghorofa unagombaniwa kama mpira wa kona na hatujui fedha hii huenda wapi?Nilidhani ingeleta tija hata zingetengeneza barabara za kokoto maeneo hayo baada ya kusajili.Hili ni jipu tusaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.