Recent content by Misojji

  1. Misojji

    Msaada wa kazi

    maisha yenyewe ni kamari tosha
  2. Misojji

    Msaada wa kazi

    jinsia ya kiume. napatikana kibaha-Pwani masomo ya kufundisha n Kiswahil japo uko sina uzoefu nako nina uzoefu wa mambo ya kuingiza data na ishu za social and community works mana nilifanyaga internship IMA WORLD HEALTH-KAGERA kama DATA ENTRY.
  3. Misojji

    Msaada wa kazi

    ipo siku isiyo na jina
  4. Misojji

    Msaada wa kazi

    Habari. najitokeza kwenu kijana wenu kuomba connection ya kazi. Mimi ni mkazi wa kibaha ni Muhitimu wa Bachelor degree of adult education and Community Development chuo kikuu dodoma. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Data entry na office assistant. Naomba msaada wenu wana jamii Forum kwa yoyote...
  5. Misojji

    Job Opportunities at TANROADS

    Tanroad-Pwani washaanza kuita watu
Back
Top Bottom