AFRICAN BEE PRODUCTS ENTERPRISE - MOROGORO
0763-672575
ASALI BORA YA ASILI
FAHAMU FAIDA ZA ASALI NA JINSI YA KUITUMIA KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA YAKO NA MWILI WAKO.
S/N
FAIDA
MATUMIZI
1
KUUPA MWILI NGUVU
ASALI, ASALI + CHAKULA(MKATE, CHAI, UJI, VIAZI, CHIPSI)
2
KUTIBU MAUMIVU YA...
ni miti hutoa maua kipindi cha mwezi disemba mara nyingi huwa ni winter season, na miti hiyo huwa na maua yana rangi nyekundu na hata nyeupe au zinginezo pia. hivyo ni sawa inaweza kuitwa mikrismasi kama jina tu.
Spathodea campanulata (African tulip tree).
Ni mti ambao upo katika familia ya Bignoniaceae, ambao asili yake ni Afrika ya kitropic kuanzia Sudan, DRC, Tanzania hadi Ethiopia na sehemu zingine barani Afrika.
Ni mti ambao hutoa maua mengi na ya kuvutia ambayo hata ukiwa mbali unaweza kuyaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.