La muhimu wote wakae chini na kujiuliza wanamtumikia nan Kama ni mtanzania hawana budi kueleweshana kwa katiba na mamlaka ya rais ili mwisho wa siku ss tuendelee kulijenga taifa letu kwa pamoja
mwambieni huyo diamond alipe kodi kwanza ndio adai maendeleo miaka yote ya uhuru hilo jimbo lipo chini ya ccm sasa anataka miaka mitano ya mdee ijengwe barabara
Huyu ni mtume wa Mungu amenena maneno mazuri nampongeza kwa sababu wa ccm wanatudharau cc kuwa hatujui hivyo yote wayafanyayo gizani Mungu huyaweka peupe hongera kakobe kwa ujumbe mtamu shika neno hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.