Simu yake haiguswi, labda kama nataka ugomvi wiki nzima. Huyo rafiki hata simtaki tena. Nadhani sina hata haja ya kumjulisha najua, atajua mwenyewe baadae.
Asante ndugu yangu.
Sasa huo msamaha nitoe hata nisipoombwa?
Ujasiri ndugu yangu ujasiri.
Yani niliishiwa nguvu kabisa.
Ni rafiki yangu wa karibu sana kwahiyo wanafahamiana kupitia mimi.Sio kwamba nimelifumbia macho ila nafikiria ntawauliza vipi wakati sina ushahidi mkononi?Si wataishia...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29.Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Juzi nimegundua kwamba mume wangu anatembea na mmoja wa marafiki zangu. Nilimsindikiza rafiki yangu kumuona shangazi yake mgonjwa,tukiwa pale nikataka kumkumbusha mume wangu kununua baadhi ya vitu ambavyo tulikua tunahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.