Recent content by Miserere Mei Deus

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    Wanapenda misifa... we wasifie
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    ASANTEEEEEEE..... NATANGAZA NIMEACHA. OFFICIALLY STOPPED.:evil:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Manundu sio rahisi labda mwenyewe niache tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Mwenyezi Mungu atusaidie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Mnabadilisha maisha yangu. . . .. lakini kwanini wenzi wetu ni sababu ya mabadiliko yetu hawa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Mmmh Ledwin ... Nifanyeje niweze kuachana naye sasa??? Tambua tuko vizuri mmno....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Wewe strawberry unatofauti gani na huyu niliye naye sasa????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    asante strawberry
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    KWa kweli sio wote wanaotangatanga wamepotea ... nimekuwa na amani na huyu baba jamani lol
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    duh but nime relax sana kwa kamuda haka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Duh nashindwa ... kama za mwizi zikiwa 40,000 itanisaidia kwa sasa mmmh
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Nimeolewa na yeye kaoa..... Ila mme wangu hatuivi kabisa na yeye mke wake tofauti kabisa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    Kupenda mume wa mtu aliyekupenda mpaka mwisho kuna namna ya kuzuia? au tuache nature itimize mapenzi yake........... Jamani huyu mwanaume hataki tuachane...... Nampenda. :israel::crazy:
Back
Top Bottom