Nenda Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) utashangaa PhD za kibongo. Kuna jamaa mmoja alikuwa na PhD ya kukariri kutoka Hangare, alivyokuwa akidai, nadhani alikuwa Mkuu wa Chuo nahisi alishatumbuliwa kwa kushindwa kazi, ilikuwa ni shida. Wasaidizi wake nao walikuwa wabovu wabovu tu na PhD zao. Labda...
Hata kama ni hivyo, ikiwa wataenda mahakamani ni vipi hali kama ya hiyo court drama hapo juu haitatokea?
Sasa fikiria kwamba mzungu pia ni mjanja sana. Tukitaka kudili nao ni lazima tutulie tutafakari jinsi ya kufanya na tutumie akili zaidi kuliko nguvu.
Ni kweli kwamba almasi imechimbwa na...
Kwanza kwa teknolojia ya wenzetu watachora picha za wahalifu hao kwa kupewa detail zao au hata kutoa picha nzima kutoka kwenye setelaiti, CIA au FBIni kitu ingine, Wenzetu wanahitaji vichwa vizuri kote duniani viwe kwao, sisi hatuvitaki badala yake tunataka kuviondoa duniani kwa kuvipiga risasi...
Kama TAKUKURU wanafanya kazi wamfikie Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha na kuchunguza kipato chake.
Alipata wapi uwezo wa kujenga majengo kama haya kila mji mkubwa Tanzania, kama siyo matumizi mabaya ya ofisi ya umma na RUSHWA?
Hebu tuwe watu wa kujadili vitu vyenye uhalisia. Tuache kujadili mambo ya maana kama wapumbavu. Unafahamu USALITI ni nini? Ni nani MSALITI, anayefanya mambo ya kipumbavu au ni anayezuia mambo ya kipumbavu yasifanyike?
SAFI, APELEKWE KWA WASHUA, KUOKOA MAISHA YAKE.
KWA AINA HII YA KUVIZIANA KUTAKA KUUANA BILA SABABU ZINAZOELEWEKA ITATUCHUKUA MIAKA 500 KUFIKIA MAENDELEO YA MAJIRANI ZETU WA KENYA
Haya ni maneno ya hekima sana. Ni watu waliopevuka kiakili tu watakaoweza kuona busara na hekima iliyoko ndani ya maneno haya.
Kwanini mtu atake kuondoa uhai wa mtu asiye na hatia? Ni nani atakayeishi milele hata kutaka kumuondoa Duniani mja wa Mwenyezi Mungu asiye na kosa? Waliofanya hayo...
WATU WALIOHUSISHWA NA TAARIFA YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALIMASI NA TANZANITE WANAJIUZULU NA WENGINE WANAENDELEA KUJIUZULU.
MKUU WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA AMBAYE KUNA KILA USHAHIDI KUWA AMESHIRIKI KWA KILA AINA YA KUHUJUMU UCHUMI KWA KUPENDEKEZA MARAFIKI NA NDUGU ZAKE KWENYE BODI YA...
ZAMANI ILIKUWA KAMATI IKIRUDISHA WAKUBWA WA TAASISI KWA MBWEMBWE NYINGI KUMBE WALIHITAJI RUSHWA. HATUJUI KAMA HII NAYO INAELEKEA KULEKULE?
PENGINE MTU MZIMA HAPO ANATAKIWA KUGAWA BAHASHA ZA KAKI!
RAISI ANA NIA NJEMA, AUNGWE MKONO.
TAKUKURU WANAKUMBUSHWA KUFUATILIA TAARIFA ZA RUSHWA ZINAZOMHUSU MKUU WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA.
HII NI MOJA YA NYUMBA ILIYOJENGWA NA RM (RICHARD MASIKA- KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE KIBAO CHA UJENZI WA NYUMBA HIYO) KWA NJIA ZA RUSHWA
RM NI RICHARD MASIKA, MKUU...
Good comment! Nimependa sana maoni yako. Tunateswa na viongozi tuliowachagua kama vile wao wana hati miliki ya Tanzania.Ni ajabu sana umwajiri mfanyakazi alafu yeye awe bosi wako.
Wanaodhaniwa kuwa ni wezi wa mali ya umma wakiachwa kuendelea kufanya kazi madhara yake ni makubwa. Watuhumiwa wakiachwa kukalia ofisi huzunguka kwa kutumia rasilimali za umma kujinasua kutokana na tuhuma walizonazo na wakati mwingine kuharibu ushahidi kwa njia mbalimbali. Ingekuwa jambo la...
Alikuwa akitafuta ugali wake na familia yake. Ameshapata alichokuwa akitafuta tumeona rangi yake halisi. TZ kuna wachumia tumbo wengi mno wa aina hiyo. Kabla tuliona ni mzalendo kumbe ilikuwa ni njaa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.