Wizara ya Elimu mulikeni Uongozi wa chuo cha DIT

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,850
Nadhani ile kauli ya kusoma sio kuelimika inawezajidhihirisha kwenye hiki chuo cha DIT maana ni chuo kinaongozwa na wasomi wa PhD ila kinaendeshwa kienyeji sana.

Kwanza wanauhaba sana wa walimu halafu cha kusikitisha wamechukua walimu wa part time ambao hawalipwi kwa wakati. Miaka ya nyuma walikua wanalipa kwa mbinde mno ila sasa hivi imekua too much maana zaidi ya mwaka sasa walimu wa part time hawajalipwa na hamna sababu ya msingi kila mtu anataka anyenyekewe.

Hii inafanya ufundishaji wa walimu wa part time kuwa wa mbinde sababu ya mgomo baridi na hii hali inaua taaluma ya wanafunzi halafu badae tunalaumu Serikali inamitaala mibovu kumbe ubovu upo kwenye uongozi wa vyuo.

Prof Ndalichako kwa utendaji wako uliotukuka jaribu kufuatilia utagundua uzembe mkubwa, na tunaomba ukinusuru chuo kwa kuajiri walimu ili kuachana na hawa wa part time ambao wamekua na madai ya mda mrefu yanayopelekea kuzorotesha ubora wa elimu ya chuo.

UPDATES

Waziri Prof Ndalichako amefanya uteuzi wa Principal wa chuo cha DIT. Hii ni baada ya siku kadhaa ya kuleta huu uzi kumuomba afanyie kazi kwa kumulika uongozi wa chuo hicho ambao ulikua unafanya kazi kienyeji. Tunategemea Principal mpya Prof Ndomba atafanyia kazi mambo muhimu hasa kwenye upungufu wa waalimu na swala la kupunguza urasimu kwenye malipo hasa kwa part time lecturers ambao wamekua msaada mkubwa kwa kipindi hiki ambacho chuo kina uhaba mkubwa wa waalimu. Hongera Prof Ndalichako na asante JF kuwa sauti ya watanzania.
 
Nenda Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) utashangaa PhD za kibongo. Kuna jamaa mmoja alikuwa na PhD ya kukariri kutoka Hangare, alivyokuwa akidai, nadhani alikuwa Mkuu wa Chuo nahisi alishatumbuliwa kwa kushindwa kazi, ilikuwa ni shida. Wasaidizi wake nao walikuwa wabovu wabovu tu na PhD zao. Labda Rais, Mhe. Magufuli afuatilie uhalali wa baadhi ya wenye hizo PhD.
 
Tatizo kwenye taasisi nyingi za serikali ni kila mtu kujiona kambale, na haya mambo watu wa utumishi wanayalea. Watu watambuliwe qualifications zao mapema na wapewe vyeo na mishahara wanayostahili ili kupunguza figisu zisizofaa. Unakuta mtu na ki bachelor chake anajipima ubavu na wenye PhD kugombania vyeo au kufanya decisions zinazoathiri taasisi, tuache ubabaishaji kwenye taaluma..
 
Nenda Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) utashangaa PhD za kibongo. Kuna jamaa mmoja alikuwa na PhD ya kukariri kutoka Hangare, alivyokuwa akidai, nadhani alikuwa Mkuu wa Chuo nahisi alishatumbuliwa kwa kushindwa kazi, ilikuwa ni shida. Wasaidizi wake nao walikuwa wabovu wabovu tu na PhD zao. Labda Rais, Mhe. Magufuli afuatilie uhalali wa baadhi ya wenye hizo PhD.
Na mkulu ndio anaopenda kuwateua mwishoni wanamdissapoint sababu wanafanya ujinga kuanzia kwenye nafasi zao wanaongoza vyuo kama genge tu
 
Nenda Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) utashangaa PhD za kibongo. Kuna jamaa mmoja alikuwa na PhD ya kukariri kutoka Hangare, alivyokuwa akidai, nadhani alikuwa Mkuu wa Chuo nahisi alishatumbuliwa kwa kushindwa kazi, ilikuwa ni shida. Wasaidizi wake nao walikuwa wabovu wabovu tu na PhD zao. Labda Rais, Mhe. Magufuli afuatilie uhalali wa baadhi ya wenye hizo PhD.
Yeye yake ni halali...unajua sababu za kupotea B.saa8?
 
Nenda Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) utashangaa PhD za kibongo. Kuna jamaa mmoja alikuwa na PhD ya kukariri kutoka Hangare, alivyokuwa akidai, nadhani alikuwa Mkuu wa Chuo nahisi alishatumbuliwa kwa kushindwa kazi, ilikuwa ni shida. Wasaidizi wake nao walikuwa wabovu wabovu tu na PhD zao. Labda Rais, Mhe. Magufuli afuatilie uhalali wa baadhi ya wenye hizo PhD.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] hii nani akafuatilie uhalali wa P.H.D?
 
Dawa yao nikuwakamata wanafunzi mda wa supplementally unauza mitihani kila mwanafunz 100k, unakunja mtonyo , wale ambao hawana hasa mademu unawala kimya kimya! Life linasonga
 
Hio ATC unayoisikia leo imekuwa Vyema kupitia DR Masika ambae ndio amesoma Hungary, Masika ameikuta TCA ikiwa inachechemea na alipoicha ni haki kumsifu kwa legacy aliyoacha na kwa sasa ni Mwenyekiti wa board ya Idara ya maji Arusha.
 
Hahahaaa mkuu madenti mi nadhani hawana hatia, japo unaweza kuamua kujifariji kwa kuwala ila sio kwa kuwaharibia maisha kisa uzembe wa viongozi wa chuo
 
Hio ATC unayoisikia leo imekuwa Vyema kupitia DR Masika ambae ndio amesoma Hungary, Masika ameikuta TCA ikiwa inachechemea na alipoicha ni haki kumsifu kwa legacy aliyoacha na kwa sasa ni Mwenyekiti wa board ya Idara ya maji Arusha.
Wapo watendaji wachache wanaoangushwa na wenzao....na kinachowaponza wote waonekane hopeless ni sababu hawawachukulii hatua wanaowaangusha wakati mamlàka hayo wanayo
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] hii nani akafuatilie uhalali wa P.H.D?
Kama utendaji wao hauendani na PhD zao kuna haja ya kufuatilia uhalali wa elimu zao
 
Back
Top Bottom