Recent content by mirymicaiah605

  1. mirymicaiah605

    Human Resource in Planning and Mangement

    Jamani hii course hapo IRDP ya HUMAN RESOURCE IN PLANNING AND MANAGEMENT ANAWEZA KUPATA MKOPO????na je kozi gani anaweza akapata mkopo mbali.na education na ualimu????
  2. mirymicaiah605

    Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

    Job K iko hivi bro its mdogo wangu amemaliza chuo cha magogoni 2013 chet amekipata mwez wa 4 kilikuwa kimekosewa kwahyo akaondoka na transcript sasa mistake iliyofanyika instead of Mary wameandika maria kittah akakiacha cheti akabeba transcript sasa akaambiwa atapewa end of june bt hakupata na...
  3. mirymicaiah605

    Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

    Wala hakuna ila niliongea nao kwenye contact zao wakaniangalia kwenye,system ya chuo and tumeshakamilisha
  4. mirymicaiah605

    Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

    Wana JF Nisaidieni, Nina mdogo wangu amemaliza diploma sasa, alikuwa anafanya, application za degree via NACTE sasa kalipia 50 mpesa ila sasa ile step ya kuweka number yake ya mtihani chuoni wakamwandikia kuwa the registrartion number not found. kuna kieneo kimeonesha pa kujaribu njia...
  5. mirymicaiah605

    TB Joshua atoa chupa 4000 za maji ya upako kuponya Ebola

    Jamani naskia maji ya huyu TB JOSHUA yapo hapa dar yanapatikana wapi???kwa anaejua na kwa gharama gani!!!
  6. mirymicaiah605

    Nishaurini Nikasome kozi gani mbali na uwalimu

    WanaJF nishaurini niende kozi gani. Maana naona kila kozi watu wanadai hii utasota mtaani mbali na ualimu nshaurini ?
  7. mirymicaiah605

    Neno Nalo

    Ukitaka kujua Uzuri wa Mbinguni waulize MALAIKA....Ukitaka kujua ukali wa moto wa Jehanum muulize SHETANI ila KAMWE USITHUBUTU kuwauliza Wanandoa kuhusu "Habari za Ndoani" Watakwambia Siasa Tupu...Very few talk the truth kuhusu Maisha ya Ndoa ila Wengi ukiwauliza "Jamani Nioe huko hali ikoje"...
  8. mirymicaiah605

    Wapi nikasome short course ya database Administrator

    Naomba mnielekeze chuo gani wanatoa kozi ya database administration, kozi fupi na ada zake.
  9. mirymicaiah605

    Nauza.

    Nauza laptop mbovu ila kioo.ni.kizima na adapter nzima
  10. mirymicaiah605

    Alovera na muarobaini

    Namaanisha kwa muarobain wale wanaochemsha na kunywa maji yake Alovera ile wakitwanga au kusaga inasaidia nn??
  11. mirymicaiah605

    Alovera na muarobaini

    Jamani nahitahiji kujua haya maji ya alovera na ya muarobaini yanatibu nini
  12. mirymicaiah605

    Chukua hii itakusaidia

    Mambo ya msingi kuyasoma na kuyatumia kila siku ( majibu ya kufanikiwa katika maisha) 1. Usijilinganishe Maisha yako na watu wengine, huwezi jua wao wanatumia njia gani kufanikiwa 2. Usiwe na mawazo hasi kwenye vitu usivyo na uwezo navyo, ila wekeza nguvu zako katika kila ulifanyanlo sasa na...
  13. mirymicaiah605

    Nasaka na nauliza

    Naona tumbooo
  14. mirymicaiah605

    Nasaka na nauliza

    xfactor yes i am
  15. mirymicaiah605

    Nasaka na nauliza

    tumboo naona unanchamba bect
Back
Top Bottom