Nyie ma CCM hamuoni aibu hata simbachawene katupigia kampeni maana hata gas kumbe serikali haihusiki ni deal la wa.....
Mambo yote lowasaaaaaaa ikulu asubuhi pombe mwisho bar lowasa mpaka ikulu
Maneno ya kahawa kwani magufuli si no CCM?..mfumo ni ule ule wa uongozi wa kurithishana na kubebana ....angalia ya celina kombani eti mtoto wake karithi ubunge..tabia ni ileile mwendo ni uleule..hakuna jipya kabisaaa maana hata magifuli huwa hajitambui
Ki ukweli EL no habari ingine maana ccm wamesambaratika hawajitambui kabisa hivi sasa hata mgombea wao akiwa jukwaani anachanganyikiwa na kushindwa kumwaga sera kuanza kudandia hoja...
Tanzania yangu...mmmh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.