Recent content by Mirreh2012

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mashindano Makubwa ya kuhifadhi Kitabu Kitakatifu cha Biblia 2017/2018

    Bibilia yako inakuambia yesu alikufa saa ngapi? Manake kuna saa mbili tofauti
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM kimegeuka kuwa chama cha kikoloni

    Sio kweli acha kupotosha jamii
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mashindano Makubwa ya kuhifadhi Kitabu Kitakatifu cha Biblia 2017/2018

    Kabisa bibilia iliyo original ni iliyo andikwa ki hibru tu zingine zote ni translating na unajua any document iliyo tafsiriwa sio 100% ili kupata ile pacent zilizo baki unatakiwa kujua na kujifunza original lugha ya bibilia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mashindano Makubwa ya kuhifadhi Kitabu Kitakatifu cha Biblia 2017/2018

    Huwezi kuhifadhi bibilia...utahifadhi kipi sasa ili useme umehifadhi bibilia agano la kale? Au jipya?.vp na hizi sheria zinazo ongezeka kila siku kama kuruhusu gays na lesbian kuwa viongozi wa kanisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ubungo, Dar: Ubomoaji jengo la TANESCO waanza

    Negative stop infecting others
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mashindano Makubwa ya kuhifadhi Kitabu Kitakatifu cha Biblia 2017/2018

    Haiwezekani kwa sababu is contridicted ipi utahifadhi. Kila moja ina maelezo tofauti...amka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku kila Mtu atamshangalia Rais Magufuli

    Duh!! Kubwa jinga kweli ww matusi hasira sikushangai labda ulizaliwa chooni. Eeeee mungu ondoa ujinga watu kama hawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku kila Mtu atamshangalia Rais Magufuli

    Unajuaje kama ww ndio utatangulia huko kaburini..changia hoja sio ujinga
  9. M

    JamiiForums Tanzania Patrobass Katambi: Ukweli utaniweka huru daima

    Wawakamate wa nini waendelee tui kuuwana kama wanavyo uwa kila anaye gombea uwenyekiti.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Patrobass Katambi: Ukweli utaniweka huru daima

    Huo ndio ukweli wenyewe na hata lisu ni wao ndio wamefanya hivyo chadema... amka kaka chukua kidogo mitaani changanya na yako then utapata jibu.. sio unaegemea kwenye story za mitandao na vijiweni tumia akili yako kutafakari yanayo endelea ipe akili yako kazi ya kufanya
  11. M

    JamiiForums Tanzania OMBI: Wapinzani unganeni msajili chama kimoja kipya kitakachowaunganisha wote

    Ndoto za kimweri hizo...mtaota sana mwaka huu subirini lisu arudi na kujiunga ccm ndio mtakapo mfuata wote...ukweli hauko mbali kwa mwenye akili zake..HAPA KAZI TUU
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza Clouds FM waanza kurusha hewani habari za Paul Makonda

    Kama kila utakaye gombana naye atakuwa adui yako basi utamaliza dunia..inasikitisha sana kuona wanaume wakibongo nanyie mmeanza kuwa kama wanawake kutwa kuongelea bifu tuu. Kama mungu wako anakusamehe kwanini wewe usimsamehe binadamu mwenzako, acha majungu katafute kazi ya kufanya serikali ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Hajarudi kwa sababu ya njaa wasukuma hawana njaa wewe....kaondoka huko kwa sababu ya ubinafsi wa wachaga mtu kushikilia nafasi miaka 20 hiyo unaita nini kama sio njaa ya wachaga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Namba 1 ndio ukweli . Mabadiliko waliyokuwa wanayataka yamesha fanywa na ccm. Na kingine wamerudi nyumbani walidhani chama cha wachaga kitawafaa wakaenda kukutana na ubinafsi ambao hawakuuzoea ikabidi warudi nyumbani kwao... go east and west home is best.
Back
Top Bottom