Recent content by Mirr

  1. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Kwa mtazamo wako inainekanaa haipo sawa,upon sahihi pia
  2. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    OK asante kwa ushaur mkuu lkn point yangu kubwa nikwamba mwanaum tafta pesa nimhimu Hays mengine usitegemee kupata MTU mwenye ela akupe sex bure
  3. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Mkuu tafta pesa acha porojo kuna siku utakuja kulizwaaaaa
  4. Mirr

    Waheshimu wazazi uchelewe kufa na upate baraka za maisha

    Habari wana jukwaa! Binti mmoja alimuaga mama yake anaenda kutembelea maeneo ya kihistoria na marafiki zake. Mama yake alimjibu "safari njema mwanangu na Mungu awe nanyi" Mtoto alimjibu mama yake "Mungu hawezi kuwa na sisi tumeshajaa tayari kwenye gari labda akae kwenye buti" Huyo mtoto...
  5. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Wasalamu ndugu wana Jamii Forum, Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu. Nianze kwa kusema mahusiano bila pesa yanawezekana kwa siku za mwanzo tu lakini ukata wa pesa ukizidi kwa...
  6. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Hahaaahahaha, pesaa siku hizi ni kila kitu hasa imeshika hatamu kwenye mpz
  7. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Hahahahhahahha, mbaya zaidi pesa zenyewe unapata kwa shida alafu bado anakunyonya na anampenda MTU mwinge
  8. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Nikweli dadangu,tuendelee kuombeana
  9. Mirr

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Wasalamu ndugu wana Jamii Forum, Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu. Nianze kwa kusema mahusiano bila pesa yanawezekana kwa siku za mwanzo tu lakini ukata wa pesa ukizidi kwa...
  10. Mirr

    Waheshimu wazazi uchelewe kufa na upate baraka za maisha

    Barikiwa sana, lakini pia vote kwa huu Uzi ndugu
  11. Mirr

    Waheshimu wazazi uchelewe kufa na upate baraka za maisha

    Kivipi ndugu, hamna kosa lolote
  12. Mirr

    Waheshimu wazazi uchelewe kufa na upate baraka za maisha

    Habari wana jukwaa! Binti mmoja alimuaga mama yake anaenda kutembelea maeneo ya kihistoria na marafiki zake. Mama yake alimjibu "safari njema mwanangu na Mungu awe nanyi" Mtoto alimjibu mama yake "Mungu hawezi kuwa na sisi tumeshajaa tayari kwenye gari labda akae kwenye buti" Huyo mtoto...
  13. Mirr

    SoC01 Mtazamo hasi juu ya kukidhi kwa Walimu wa Sanaa(arts) na ongezeko la Wanafunzi

    Nawasalimu wana jukwaa,amani iwe nanyi! Kwanza kabisa naomba nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima hadi ninapoandika andiko hili sina budi kusema Alhamndulilah! Bado kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa kulingana na idadi kubwa ya wanafunzi hasa shule za mijini japo mahitaji ya serikali...
  14. Mirr

    SoC01 Ushauri kwa wahitimu wa vyuo na wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali nchini

    Ndugu wana jukwaa amani iwe juu yenu! Hakika kama tujuavyo elimu imekuwa chanzo cha maarifa tangu kuanza kwa historia ya mwanadamu lakini pia katika baadhi ya vitabu vya imani vimeandika "MKAISHIKE ELIMU" kwa maana msisitizo nikwamba elimu yenye tija na malengo ina manufaa kwa jamii na...
Back
Top Bottom