HhahakkQUOTE="Mamndenyi, post: 24030248, member: 41512"]Usiogope. Mungu akuponye. Zingatia dawa na maombi. Hakika utapona.
hakika nitapona. Ubarikiwe sana ndugu yangu.
Habari ndugu zangu samahani nilishindwa kuwa kwenye thread sababu nilikuwa kazini na kweli ndugu mmeniliza sana. Napitia comment na nafeel kabisa kuwa kawaida. Nimepata nguvu mpya ya kusonga mbele. Pia kwa niliowaudhi kwa kuchanganya lugha naomba mniwie radhi ni mazoea tu sababu huwa napenda...
Hili swali linanisumbua sana akili yangu . nimewaza mengi nshawahi kuongezew damu 2009, nishawahi kusex japo mala chache na zote nlitumia condom. Lakini pia kama mnavojua maisha ya bording school nmewahi kushare vitu vya ncha kali mala nyingi tu na hata kujikata sana sana kutumia wembe etc. But...
Asante sana kunitia moyo ndugu na ushauri wako mzuri na pia wote wanaoendelea kunishauli. Mungu awabariki kwa kuzidi kuinua imani yangu na kupunguza wasiwas wangu.nipo kazini ndo maana sina muda wa kuwajibu wote ila tawajibu kutokana n ushauri wenu. Asanteni sana.
Sorry kwa kuchangany ndugu ila katika maisha yangu ya kawaida hupenda zaidi kutumia kingeleza katika maandishi yangu ili kuongeza ufanisi wa lugha ya kingeleza hivo nimejikuta nimezoea. Nilitamani niiandike kiswahili tu habari nzila ila nimejikuta tu nachanganya na sababu nimezoea kutumia...
Hello guys,
First of all,ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa sababu najiona kamae I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri.
Natanguliza shukran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.