Lawma zote..zielekezwe kwa lile lizee lakukenua meno mda wote..hilo ndolimebakia kama listaafu linashindwa kufanya jambo kisa lina mkula b.macho nakufinyiwa ndani
Usimlaumu babu yako huenda kipindi hicho Alikuwa sahihi hakujua kama leo hii duniani kungenoga,namna hii nadhani angekwepo mpaka sahivi angeshafungwa kwa biashala yake yakuuza pembe zandovu,na hakika mpaka sahivi bado angeendelea kujificha asikamatwe na Makwela
Wana bahati..hawa nyumbu waliwahi kuzuia barabara zakuingia town ..lasivyo
Ngoja tu tumeanza kuzoea hizo risasi zao ..next time vitaumana kama wasipo jifunza wakabadilika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.