Jangwa linatambulika kwa sifa zake za kuwa na unyevu wa chini sana (upungufu wa mvua) badala ya kuwa na hali ya joto au baridi. kigezo kikubwa cha utambuzi wa jangwa ni kiasi cha mvua kinachopokea kwa mwaka.
Sababu Antaktika inapokea wastani wa chini ya 200 mm (8 inches) za mvua kwa mwaka...
Kuna mambo kadhaa yaliyochangia mgogoro wa sasa wa benki. Kwanza, Cuba imekuwa ikikabiliana na mdororo mkali wa kiuchumi, uliozidishwa na vikwazo vya muda mrefu vya Marekani na kutokuwepo kwa ufanisi ndani ya nchi.
Changamoto kubwa ikiwa ni pamoja na mfumuko wa bei, uhaba wa fedha za kigeni, na...
'Unga' wa Exhaust za magari unatokana na madini ya palladium. Kwa jina Masega
Palladium ni chuma adimu chenye thamani kubwa kwa sababu ya matumizi yake muhimu katika sekta mbalimbali, hususan kwenye magari na teknolojia nyingine.
Thamani yake inatokana na katika utengenezaji wa vifaa vya...
Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi.
Nchi nyingi za Kiarabu ziko katika maeneo ya jangwa na zinakumbwa na ukosefu wa mvua, hivyo vyanzo vya maji ya...
Napata wakati mgumu sana kuelewesha watu.sujui sababu wengi mnakalili au wafata mikumbo.
Hapo nilicho kitafuta nilipeleka sampuli ndogo ya jiwe kwenye mahabara ili kujua unacho kifanya.ulitaka niende na fuso ndio nijue ppm kubwa nacho kitafuta.
Hiyo ni ripoti ya sampuli ndogo...
Asante kwa kueleza.ila Kumbuka swala la madini tena dhahabu kama utakuwa mzoefu ni sehemu moja usipokuwa makini unaweza kuja kuishia hapa ndio nilifanyaga.
Uwazi wa kusema kila nachofanya kitajulikana pale matokeo nikileta kamili ila sio kwa sasa
Siwezi kukupa jibu kamili nilipeleka sample ndogo sana ambayo nikikupa jibu nitakuwa nimekudanganya.Subiri sample kubwa ambayo imechukiliwa sehemu kubwa ili kujua kilichopo kwenye unachokitaka
Changamoto za fedha na ujanja wa matajiri ndio tatizo.ila nipo hatua ya kutengeneza mikataba ambayo itakuwa na msaada japo mtaji ni modogo kama watafiti wadogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.