Recent content by Mimmz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Iman ya kiislam na Quran na mtume Muhammad vyote vinamuani na kumkubal na kumtaja yesu kama mtume na mjumbe wa mungu dunian.. uislam unafundisha yesu pia ni muislam.. muislam anaehama din manake alikua muislam jina hakua ameusoma uislam na kuuelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanaume wanajitaftia matatizo wenyewe mwanamke wa hivo n kumpa talaka na kumuacha na kutengana nae jumla.. na ikitokea mkiachana na mnaish nyumba moja asije onja hata mia yako hata sku moja … hio ndo dawa yao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Sio akili ake ni pepo nimemvaa huyo aende kwa mchumbaji aombewe au kwa shekhe afanyiwe visomo vizito
  4. M

    JamiiForums Tanzania Najua ni ngumu kumeza lakini ngoja nione mwisho wake

    Unaliwa hela zako bure na sim ikishakua yake anakuacha.. hajakupenda huyo kapenda unachompa… nakuona hujui tricks za madem ww… unagalamika kuna mchiz anakula bure
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hukumuoa/ulimkimbia Mwanamke uliempa mimba?

    Angekua mtoto wako angejiweka krbu na ww na kutaka matumiz kila mara.. ukiona tofaut na hapo jua si wako yupo anaepewa taarifa vzr sio ww
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

    Kuingiza elf 13 kwa sku na unajitia majukum hivo umaskin unauita mwenyewe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

    We jamaa nini maana ya mkataba? Ulitaka awekeze kisha apate loss? Kwenye biashara hakuna kujuana mzee pesa kwanza
Back
Top Bottom