Recent content by mimiyeye95

  1. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Bro Ushimen pole sanaaa Allaah akufanyie wepesi uweze kupona.. Natumaini kuongea na wewe kwa mara nyingine kupita simu inshaallah,,..
  2. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Class mate huna baya bro,,
  3. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Kuna namba nakutumia pm ya jamaa yangu ni specialist wa mambo ya wanawake japo yupo moshi lkn natumaini anaweza kukushauri jambo, pia huyo dr alimfanyia wife operation ya cyst kama yako,, Pole sanaa
  4. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Afwan, upo mkoa gani dada!!
  5. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Sheikh Abuu: Tujihadhari, amani inaweza kuvunjika kupitia mijadala ya kimadhehebu inayoendelea

    Aache mashia watandikwe mpka wafaham wapokea misaada kutoka kwao kuwa watoaji wanawakusudia kuwa wafuasi wao na si kwa ajili ya kutaka thawabu,,,
  6. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wake wawili bila kuficha njooni tupeane uzoefu

    Kiasi kwamba hauwezi kuanzishwa wala kuongezwa enhe?!,,,
  7. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wake wawili bila kuficha njooni tupeane uzoefu

    Wapo wengi tuh wanahitajia ushindwe wew tuh,,, Kama upo tayar nione nikupe muongozo!!,,
  8. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wake wawili bila kuficha njooni tupeane uzoefu

    Kwann mkuu hali ya kuwa wanaume wapo zaid ya 30m, washindwa kuchagua mmoja kati ya hao kweli?
  9. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wake wawili bila kuficha njooni tupeane uzoefu

    Kwan mkuu ni mke wa ngap wa mtu!
  10. mimiyeye95

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wake wawili bila kuficha njooni tupeane uzoefu

    Mpe fursa hakuongeze mke wa 3,,
Back
Top Bottom