Recent content by miminimama

  1. miminimama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Haya kumekucha
  2. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Ndani ya lisaa limoja. WAkala wa ndege hawajaidhinisha malipo ikawa expired and deleted.
  3. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Mamlaka ya usafiri wanga unamaanisha ya Tanzania(TCAA) au international?
  4. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Ahsante. Hii ni kwenye website?
  5. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Nilienda mix shop Mlimani City yaani kwanza ile mijamaa inamijibu ovyo tu, dharau. Yaani
  6. miminimama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
  7. miminimama

    JamiiForums Tanzania Je unampenda mpenzi au mume wako?

    Hatujaachana. Na hatuachani.
  8. miminimama

    JamiiForums Tanzania Je unampenda mpenzi au mume wako?

    Mwaka wa tano. Nampenda sana
  9. miminimama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Wadau itabidi niandike Uzi mwingine naona mnafikiri tumeachanaaa... Halooo Mimi natajiri anizike yeye au nimzike. Nampenda sana. Nayeye ananipenda. Mimi ndo roho yake. Tupo sana na tutakuwepo.
  10. miminimama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Ahsante sana.
  11. miminimama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Yalikuwa mambo mageni. Ila Sasa nimeyazoea ananipenda sana ninampenda sana. Bado tupo pamoja mambo mazuri na makubwa tumeshafanya na tunategemea kufanya makubwa zaidi. Kama Mimi nilipata humu mwanaume mwenye mpenzi na tabia nzuri basi hata wewe acha makasiriko utapata mwanamke mzuri, mwenye...
  12. miminimama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Hapana. Aisee siyo Mimi huu ni mwaka wa tano Sasa tupo benet. Penzi kama tumejuana jana.
  13. miminimama

    JamiiForums Tanzania Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Poleni sana.
Back
Top Bottom