Recent content by miminani

  1. M

    Msaada kuhusu Batholish Cyst

    Sawa asante ntakutafuta kiongozi
  2. M

    Msaada kuhusu Batholish Cyst

    Asante kiongozi
  3. M

    Msaada kuhusu Batholish Cyst

    Asante kiongozi
  4. M

    Msaada kuhusu Batholish Cyst

    Habari wakuu.. ninaomba msaada kuhusu hizi Batholist Cyste Nilifanyiwa operation mwezi wa 11 mwaka jana baada ya kuwa na vipele vigumu kwenye ukuta wa uke na vilinitokea kwenye shavu moja la uke.. na hata shepu ya uke ilibadilika coz lile shavu lenye viuvimbe lilikuwa lefu kuliko jingine...
  5. M

    Vipele vigumu ndani ya kuta za uke.

    Mm n mwanamke. Na kila niogapo n lzm nijisafishe kuhakikish K' ipo ktk hali ya usafi . Na km kuna tofaut lzm nitafutie ufumbuz cz hapo mwanzo haikuwa hv. hayo ya kujigegeda mm siyajui
  6. M

    Vipele vigumu ndani ya kuta za uke.

    Havionekani kwa picha .. n mpaka nikigusa ndo naona km kuna kaugumu kama kipele .. ni kiasi cha kujibinya na kugundua kuna kipele kwa ndani
  7. M

    Vipele vigumu ndani ya kuta za uke.

    Habari wana Jf.. nina tatizo la kuwa na vipele vigumu kwenye kuta za mashavu ukeni. Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu. Nimekuwa nikitumia dawa bila mafanikio.. mwanzon vilikuwa pande zote mbili lakini kwa sasa vipo upande mmoja . Haviumi na havitoi harufu. Napata normal...
  8. M

    Azania Bank wameanza kuita

    Habari wakuu .. nimepata tetesi kuwa Azania bank wameanza kuita watu kwa ajili ya interview na itafanyika chuo cha IFM .. mwenye updates kamili atujuze maana hata mimi nimeapply lakini sijapigiwa simu.
  9. M

    Pata smartphone yenye ubora stahiki

    Thanks mkuu
  10. M

    Pata smartphone yenye ubora stahiki

    Kaka note 2 n note 3 n how much???
  11. M

    Katles za samaki

    Hello Dada farkhina .. n Mara yNgu ya kwanza kukoment humu but huwa naingia na kuchukua maujuzi ya kupika kimnyakimnya .. sorry for that .. but now ntakuwa active I hope .. nataka kujua tofauti ya aina hizi za pilipili Pilipili mbogA Pilipili hoho Pilipili manga Pilipili ya kuwasha .. na je...
  12. M

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    nenda kwa docta shabbir yupo samora pembeni ya burhani hospital.. yupo poa sana sema gharama kidogo.. n usikubali wakuhudumie wasaidizi wake, waambie unataka kumuona yeye.
  13. M

    TPDC Kumekucha - Call for Interview

    CALL FOR INTERVIEW TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION TPDC Managing Director is pleased to invite the following shortlisted candidates who applied for various posts in respect to the advertisement on career opportunities made in the newspapers and in the Corporation’s website, to appear...
  14. M

    Ushauri, njia sahihi ya kutibu ngozi ya msichana aliyewahi kutumia mkorogo

    atumie mafuta ya mawese.. apake asubuhi na jioni mpk ngozi yake itakapokaa sawa.. yanasaidia sana!
Back
Top Bottom