Ni kama mwezi mmoja uliopita tumemzika kijana mwenzetu kutokana na kifo cha ajabu kilichomshitua kila mtu kutokana na mazingira yake ilhali vijana wengine wawili wakiwa kwenye mateso na maumivu makali kutokana na tukio hilo lililomchukua kijana mwenzetu.
Hii imetokea mkoani Geita.
Kijana...
Sa we wasiwasi wako nini?!.
Kuchelewa kukwambia na kutokukwambia kabisa kipi boro tena mwenzio kakwambia aliogopa kukwambia mapema kwa vile anakupenda na alihofia huenda angekwambia mapema ungekataa asikuoe.
Kikubwa hapa heshimu maamuzi ya nafsi yako na pia kuwa makini yasijetokea km ya...
nilishamwambia kila kitu bt hakunijibu moja kwa moja zaidi ya kuniambia TUSUBIRI KWANZA, nilipomkumbusha akasema NISIWE NA HARAKA WALA WASIWASI. naona dalili zote za yeye kuvutiwa na mimi ila tatizo limekuwa kwa yeye kutamka ANANIPENDA PIA, nimejaribu njia nyingi sana kumfanya awe huru kwangu bt...
Kweli nna malengo naye, nmejaribu kufanya mambo mengi sana ambayo yangemfanya ajisikie huru kwangu, ikiwa ni pamoja na kumuomba nimtoe out ila ikashikana kutokana na mazingira ya nyumbani kwao.
Ila kutokana na kauli zake inanibidi niwe mvumilivu japo naumia sana nafs.
Ni kweli bt unapomtongoza mtu akaonyesha dalili zote za kuwa na wewe bt akawa anashindwa kuwa muwazi kwako unafanyaje?. Hiki ndicho knachonisumbua mimi kaka.
Naona bt tatizo kla nnapojaribu kumfanya awe huru kwangu bado amekuwa haeleweki na mimi nashindwa kufanya pupa coz keshaniambia NISIWE NA HARAKA WALA WASIWASI, pia inawezekana ata mazingira ya kwao yanachangia, hivyo nilipenda nipate njia mbadala kwenu ndugu zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.