Recent content by Mimimollel

  1. M

    Orodha ya Barabara mbovu za Tanroads na ambazo hazina Lami na ziko kwenye uchumi mkubwa wa Nchi

    Ipo shortcut ya barabara kuunganisha east affrican road na mji wa mirerani hadi machimboni kupitia mbugun,,, magari mengi sana, barabara mbovu, japo kila mwaka wa najitahidi kufanya repair
  2. M

    Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    MIMI naona hoja yako kwa political and power demand, habari ya nani ni Rais, katoka upande upi wa muungano, kwann tusiwe rais wetu, hizo ni hoja za kisiasa, madarasa, ambavyo mtanzania hana haja navyo
  3. M

    Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Naheshimu mawazo yako muungwana, serikali tatu ni wimbo wa wengi, ila ebu tufikiri ✍️ Gharama za muungano kwa maana ya ikulu tatu, wizara zitakua ngapi, vyanzo vya uchumi vipoje ✍️ Kuwe na majeshi ya ulinzi na usalama mara ngapi? ✍️ Mipaka na shughuli za baharini itakuaje? ✍️ Serikali tatu sio...
  4. M

    Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Nakubaliana na uundaji wa tume ya wazalendo kuuweka vizuri muungano, ila hizi force za kisiasa zenye nia ya kuimarisha na kutangaza kila baya la muungano hapo ndo natishwa zaidi
  5. M

    Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Kwann ufikiri uchakavu? Kilichochakaa ni kipi? Sisi watanzania, tunaomiliki na kuufaidi MUUNGANO tupo, hatujachakaa, hata tukifa watoto na wajukuu wapo na watakua wapya ndani ya muungano, tuutunze huu umoja, tutafakari mapungufu yaliyoko kwa staha
  6. M

    Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement? Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri...
  7. M

    CCM ni yetu sote, tusiikimbie

    Wewe kijana mwenzangu, achana na mawazo ya kupinga CCM, nafikiri ni hekima kupinga uovu, kuwakataa waovu, naamini upinzani wa namna hii utatoa matokeo makubwa ukiwa ndani ya CCM kuliko huko nje. Tuijenge nchi yetu, tusiharibu waliposimamia wajenzi wa msingi. TANZANIA NI KWETU
Back
Top Bottom