Recent content by mimiF

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    na kuna muda hata mzazi anatamani watoto wake wawe na kipato wote. sasa kama umezidi sana wenzio napo.....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

    ungefata ushauri wa juu. ndo,maana walioangalia wengi 200+ michango chini ya 10. watanifuata maake bado hujafuatwa jiulize kwanini? kama muuzaji utajifunza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Kama ndoa bado mpya wewe furahia itafika mda utaanzisha uzi mwengine mune wangu hanipi akinipa kimoja tukuoe ushauri kabla hujafanya uamuzi. Kikubwa ukitumia uanamke wako vyema utakuwa mke, rafiki, mshauri, business partner na mtapeana hata umbea. Kwa sasa acha arudishe mahari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    swali: umepata ngapi matokeo yako? jibu: wa kwanza ana division IV
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anko amenitafutia mishe ya kusafisha mazingira hivi amejali elimu yangu?

    ukikua utakuja ku comment humu.uombe huu mchongo
Back
Top Bottom