Recent content by mimi88

  1. M

    CRDB Bank hela zetu nani wanazitoa kwenye account

    Habari Miss Natafuta naomba nitumie details zako tuweze kukuulizia vizuri kitu gani kimetokea.Nina Uhakika Benki haiwezi poteza fedha za wateja.Tafadhali naomba uwaandikie kwa njia ya barua pepe info@crdbbank.co.tz wanajibu haraka sana
  2. M

    Mwanasheria anahitajika: Nataka kuwashitaki CRDB Morogoro kwa kuifunga akaunti yangu ikiwa na hela

    Habari Idtech Mbona CRDB Bank wapo vizuri sana na wanajibu kwa wakati ,sijajua issue yako kwa undani,ila wacheki kwa kutumia barua pepe "info@crdbbank.co.tz" watakujibu haraka sana na kukupa maelezo yaliyojitosheleza.wachek usihangaike.
  3. M

    Tatizo la CRDB Simbanking

    Umeongea bila kufikiria other factors...mfano muda,usafiri,usalama nk...kama ATM ipo nyumba ya pili hapo sawa lakini kama lazima uchukue usafiri ni sawa sawa na pengine nafuu kuliko hiyo 2100 ulioitaja...hapo bado hujaangalia usalama wa kutembea na fedha njiani na pia muda utaotumia kufika kwa...
  4. M

    Tatizo la CRDB Simbanking

    Ni natumia simbanking mara nyingi sana haijaniletea tatizo lolote.nimetoka kununua LUKU sasa hivi na nimefanikiwa.kumbuka muamala ukigoma inawezekana link ya huo mtandao wa simu ilikuwa down na sio simbanking.
  5. M

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Kwani miradi kama ya mtibwa sugar,Kilombero na mingine wametoa wapi mikopo? Embu fuatilia kabla hujakanusha kitu.naona watu mnachanganya siasa na biashara...kuuwa ushindani wa biashara kati ya mabenki its not healthy at all.
  6. M

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Gawio kubwa linakujaje?si lazima ununue Hisa?kwann serikali isinunue hisa kwenye hayo mabenki mengine pia?maana benki nyingine pia zina bei nzuri kuliko hata NMB na pia zina perform vizuri..naona umejibu bila kufikiria
  7. M

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    To be honest nadhani Mh hakujua effect ya yeye kutangaza maagizo kama yake akiwa kama mkuu wa nchi.maana its is not prudent kuondoa ushindani wa kibenki ndani ya nchi.Benki nyingi nchini zinasimamia na kutoa mikopo nafuu kwa miradi mingi ya serikali...ambayo jamii ya Tanzania tunanufaika...
  8. M

    Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

    Kama vipi kwanini serikali isinunue tu Hisa ?maana kama CRDB Bank ni public coy ambayo watanzania wengi wamenunua shares zao na wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo.sada sielewi mabenki mengine yakifungwa inakuaje.
  9. M

    Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

    12. Serikali ina hisa nyingi CRDB kuliko ilizonazo NMB. Hata zile hisa za DANIDA Fund ni za serikali. Sasa jumlisha hizo na za pension funds utapata idadi yake. Hivyo Serikali inapata dividend kubwa kutoka CRDB kuliko NMB. Mimi nafikiri Mheshimiwa rais alisema tu kuwafurahisha NMB kwa kuwa...
  10. M

    Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    Its a shame jinsi watu wanavyotumia njia mbalimbali kuchafua Benki ya CRDB.Jamani tuwe makini na taarifa za uongo.acheni uzushi acheni majungu..tunapenda upinzani wa biashara unaoleta tija ili mwananchi afaidike.sio upinzani wa kusema maneno ya uongo na kupotosha taarifa.Benki ya CRDB...
  11. M

    Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    Hii habari iliyoandikwa hapa haina ukweli wowote.Wengine tunafuatilia speech za Dr Kimei na hakuwahi kusema yaliyoandikwa hapo juu.Gazeti la Mtanzania wamepotosha habari na sio jambo la busara kupindisha taarifa.mnawachanganya wananchi. Narudia tena hayo maneno hayajazungumzwa na Dr Kimei labda...
  12. M

    CRDB wanachekesha namba ya customer care!!!!!

    Naona umekosea namba mi naijua namba yao ni 00755197700...naona we umekosea namba ya mwisho.usilaumu jambo bila ya kuwa na uhakika.
  13. M

    Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

    Jamani No research no right to speak...sasa kweli unamponda kiongozi bora alieipeleka benki to the next level? Mi naona una chuki binafsi ndo maana ukaandika maneno yasiyo na ukweli wowote. Kwani usiandike mazuri yote alioifanyia benki na jamii kwa ujumla?? Project za shule ambazo CRDB Bank...
  14. M

    CRDB Jibuni email

    Tuma customer-hotline@crdbbank.com watumie account no yako,jina na tatizo lako watakusaidia.au piga simu kwa 0714 197700 watakusaidia.account yao ya email ilikuwa katik matengenezo wiki iliyopita inaweza kuwa sababu ya kuchelewa kukurejea.
  15. M

    CRDB huduma ni mbovu bora hata NMB

    Experience yangu na CRDB Bank imekuwa nzuri siku zote.watoa huduma kwa wateja wako vizuri na pia nikiwa na tatizo huwa nasaidiwa vizuri tu.Matawi yote niliyowahi kwenda huwa nasikilizwa na kupata utatuzi muafaka...na pia sio kila tatizo huwa naenda tawini...nimeona siku hizi wanajibu na...
Back
Top Bottom