CRDB huduma ni mbovu bora hata NMB

CRDB huduma ni mbovu bora hata NMB

Experience yangu na CRDB Bank imekuwa nzuri siku zote.watoa huduma kwa wateja wako vizuri na pia nikiwa na tatizo huwa nasaidiwa vizuri tu.Matawi yote niliyowahi kwenda huwa nasikilizwa na kupata utatuzi muafaka...na pia sio kila tatizo huwa naenda tawini...nimeona siku hizi wanajibu na kuhudumia wateja wao mpaka katika facebook...nikiandika swali najibiwa fasta.
Kusema ukweli CRDB Bank nawapongeza kwa juhudi zenu za kuboresha huduma kwa wateja...mko juu sana
 
Hivi juzi tu kazi za bankers zilikuwa zinafanywa za form six, kwani hazihitaji ujuzi wowote zaidi ya kujua kusoma, kuandika na kuhesabu, ndiyo mana hata misharaha yao mpaka leo bado ni midogo, tatizo la ajira ndiyo limesababisha wenye degree kuanza kufanya bankers

"One day the poor will have nothing to eat except the rich men"-Desmond Tutu. Sisi malofa tutaanza na Watu wenye dharau na kiburi cha Fedha za ufisadi kama wewe.
 
heheee ATM za ubungo zinaweza kukuumbua yaani ukifika pale ni kama unabet.
halafu wana vimakato visivyoeleweka.
 
Back
Top Bottom