kwanza kabisa naomba tuelewane
kujiuzulu sio shida
swali ni je wakishajiuzulu na hatua gani zinafuata kwa walishajiuzulu wengi lkn hakuna hatua zizote ambazo zimechukuliwa mpaka leo.
na hata mimi nianze kwa kusema hata mimi hata sent moja sijagaiwa.
pili
kama kafulila alivyosema leo bungen huu ni mtihan kwa hili bunge kama kweli wanaishauri na kuisimamia serikali.yetu macho na maskio tuone kama wana hio dhati kutoka moyoni kuisimamia serikali.
kama mafisadi wamefikia hatua ya kuirubuni mahakama kuu nchini ili waitumie kwa masilai yao hii nchi tunakoelekea ni pabaya.najiuliza mm mlala hoi nitapata haki kweli nikiwa na shida?
maana tayari mahakama imetekwa na wenye pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.