Tayari! Uzi wa gari tena,
Ningekuwa mimi natengeneza kiasi cha 500K kwa siku kama huyo jamaa, hata papuchi ningeachana nazo kabisa, nikanunua lile li model la kwenye maduka ya nguo nikalimodify papuchi, nikawa namwagia hapo. Asubuhi naenda kuliosha, nakaa juu ya meza, naanza kushushia pombe...