Recent content by Mimi alone

  1. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Hodi wana Jf

    asanteni wote
  2. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    hahaaaa
  3. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mume mwenye upendo kwa mwanangu?

    Asanteni wote kwa ushauri wenu nafarijika sana.
  4. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mume mwenye upendo kwa mwanangu?

    Asante sana kwa ushauri wako
  5. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mume mwenye upendo kwa mwanangu?

    Asante sana kwa ushauri.Papara sina ila najiwazia tu maisha yangu ya baadae kama yatakuwa sawa kama mwanzo
  6. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Hodi wana Jf

    I am Mimi alone...naombeni mnipokee na tushirikiane kwa mawazo na hoja mbali mbali.Asanteni
  7. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mume mwenye upendo kwa mwanangu?

    Mimi ni msichana mwenye miaka 24 nina mtoto mmoja mdogo,baba yake alifariki mtoto akiwa mchanga.Najiuliza sana nitaweza kupata mume atayempenda mwanangu kama baba yake mzazi na ndoto zangu zikatimia za kuwa na familia?Na nitaweza kupenda tena kama awali..Nisadieni kwa mawazo ila plz nawaombeni...
  8. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    tabia ya mtu haihusiani na urefu wala ufupi.omba Mungu upate mke mwema si umbile lake na mpendane kweli.Tena futa kauli yako utapigwa kofi na Mungu kwa ubaguz wako
  9. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kirefu cha UKAWA

    Asante
  10. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

    hawo wazuri na warembo wakoje unadhani wanatolewa out na wanaume wa ukweli?kuwa online si kwamba umeshindwa kutoka out bali unapenda kupata habari mbalimbali na kuexchange ideas na watu tofauti tofauti
  11. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

    siyo wote elewa hivyo...samaki mmoja akioza si wote
  12. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kirefu cha UKAWA

    Naombeni muniambie kirefu cha UKAWA?
  13. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

    waache mawazo potofu
  14. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

    wasifikirie vibaya wakati wanaitaji wachumba kweli na wanatabia nzuri.kutafuta nipopote
  15. Mimi alone

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

    Kwanini watu wanawachukilia vibaya wasichana wanaotafuta marafiki,wachumba kwenye mitandao kama malaya?
Back
Top Bottom