Recent content by mimbali

  1. M

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

    Hakuna alichokuwa ameona, Bali usaliti wake ndio unamfanya awe adui wa watanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

    Pascal tangu aseme amejiunga na CCM hata thinking capacity yake imekuwa low sana. Analeta issue ambayo mahakamani walishindwa kuithibitisha? Ila kweli mayala mbaya sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

    Nakupinga kwa 100% kumbe bado unahangaika na uhuni wa Nchemba, basi Pascal akili huna kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    David Silinde: Mimi sifukuzwi uanachama kihuni lazima nipewe barua rasmi ya kufukuzwa CHADEMA

    Huyu analipwa kwa kazi hii, na bado ni mgeni Sana humu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

    Kwako wewe mizigo ya Zambia kutoka Tanzania ndio suala kubwa sana!! Hivi Msumbiji hakuna bahari, South Africa hakuna bahari? Acha mawazo mfu hayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kuhusu CHADEMA kuwafuta/ kuwafukuza ubunge akina Lwakatare, Selasini, Komu na Silinde: Nakubaliana na Spika Ndugai

    Ulivyoanza sikukuelewa kabisa, almanusra nianze kukujibu. Nikijipa moyo konde acha nimalize kumsoma huyu Mh, nimekuelewa sana. Ni kweli Chadema hawana uwezo wa kumfuta mtu ubunge, Ila wanauwezo wa kumfuta uanachama. Baada ya hapo ubunge unakoma mara moja" Nanukuu tena ubunge unakoma mara...
  7. M

    SADC wakana kikao kufanyika bila Rais Magufuli, wasema ni kikao cha nchi jirani na Afrika Kusini

    Jamani sio hawezi kupokea la hasha, hawezi kuongea kiingereza. Yeye angefanya kuidivert simu yake iende hata kwa Mh Mbowe ili aongee kwa niaba yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Je, kamati kuu ya CHADEMA ilizungumzia sakata la Meya wa Ubungo au ilijikita kwa wabunge tu?

    Hawawezi kuzungumzia huo, kwakuwa ni mkakati ovu uliopangwa na CCM! Huku serikali ikiusimamia kwa karibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Hali si shwari, baadhi ya Wajumbe wa kamati kuu Chadema hawakuafiki Wabunge kufukuzwa, kamati kuu imekorogoka

    Inakuuma Kama nani? Punguza umbumbu wako!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Freeman Mbowe Aongea BBC, amvaa upya Rais Magufuli kuwatumbua wahusika wa upimaji wa vipimo vya Corona

    Kwako wewe usiejua unasema viza, kwetu sisi ni yai tena la bata mzinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Baada ya Uchaguzi, Je Chadema itweza kuishi bila ruzuku?

    Kwani ruzuku ndio iliyowalipia faini, pale walipofungwa kwa maagizo ya Jiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Nini hasa tatizo la Spika Ndugai wa Bunge letu?

    Tulikosea sana, kumuombea wakati anaumwa. Yaani tungejua bora angekufa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Pole mwenyekiti wetu Mbowe, sikufundishi kazi ila ujue kazi hii ni yetu wote

    Naona unafikiri kwa kutumia masaburi, CCM hatuna ubavu wa kushindana na CDM kwenye uwanja huru. Ebu tujaribu tuone, watoke ma DED, Watendaji, Polisi, Nec na wengine wawe huru, tunapigwa asubuhi saa mbili. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Rubish kabisa!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom