Recent content by millipede

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Banza Stone aliwahi kuimba...."Ukiona elimu ni ghali, basi jaribu ujinga"
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tofauti ya cc na wanaija ni kwamba cc imetokea hii mara moja... Wanaija ni karibia kila wiki au mwezi... Waulize m-bet walikimbia kule... Sportybet yenyewe mwaka jana kule naija, waliweka masharti kwamba code moja ikipiga hela nyingi, wote watagawana hiyo hela ya code hiyo hiyo moja orijino...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Download app inaitwa SEAL... ila haipo playstore
  4. M

    JamiiForums Tanzania SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Msaada mwenye namba za speedaf hapo dar! Kuna mzigo wangu wanaupiga danadana tu, ulitakiwa kuja mbeya, ukaenda dodoma, umerudi dar... Ni zaidi ya mwezi sasa sijaupata huo mzigo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukibet live inawezekana, unacheza rollover tu, nishaanza na 250 asbhi, kufika mchana nilikua na 30k, c nikajilipua yote, kama kawaida ya muhindi, hapepesi macho
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Watu wanajitoa ufahamu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tumetofautiana sana, mm celtic cku hz nikimuona nampa direct win, wala sipepesi macho... Ila barca hata awe anacheza na tim dhaifu vp, siwezi muwekea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya waibuka

    Mi nipo mbali, na ndugu yangu yy hahusiki, nimewaachia waru wa dom wapambane nao... Mbna hawafiki mbali hao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya waibuka

    Hao watu nawajua, kuna hp spectre x360 walikua wanauza kwa 450k, wakasema wapo dom jengo hilo hilo, kidg nitume hela, bt kuna ndugu yangu yupo jengo hilo hilo nikamuomba anichunguzie, ndo kunishtua kwamba kweli wapo kwenye jengo hilo, na hiyo pc ipo, ila ni 3.5mil, huyo jamaa anamfaham ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Endelea
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe unaweka tu, mida tunapishana kuingia humu... Ila kuna treni lako moja nilifuata, linasoma 3.3m... Likifika stendi salama ntakukumbuka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nachoweza kukushauri, ukianzisha hii biashara, simamia mwnyw... Usiweke mtu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo sportybet kuna shida au ni mm tu haifunguki
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leta code
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muhindi ana dawa kali sana, yaani dk ya 8 tu unakuta tim inaongoza 1-0, sasa jikoroge uweke over 1.5 FT uone...
Back
Top Bottom