Recent content by Miller James

  1. M

    JamiiForums Tanzania

    Habari wakuu, naomba kujua, nimelipia 8800 kwenye iflix ambayo ni gharama ya kujiunga kwa mwezi, sasa cha ajabu kila nikiingia data zangu za kawaida zinaisha, kwa anaejua anisaidie, Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufuta cheti kilichowekwa mtandaoni kimakosa

    Picha haina mahusiano yoyote ila nikatika hali ya kupata attention kubwa kwa wadau kuhusiana na pachiko hilo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufuta cheti kilichowekwa mtandaoni kimakosa

    Kwa anaejua anisaidie namna ya kufuta (delete) cheti kilicho kuwa uploaded kwa makosa kwenye app ya utumishi ya Ajira. Asante wakuu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

    Jamani kuuliza siyo ujinga kuPM ndiyo kufanya nini Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom