Recent content by milkshake

  1. M

    Nini kimesababisha ukosefu wa hizi airtel portable routers

    Mkuu hii router ya Vodacom 5G Bado unayo?
  2. M

    Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

    Ujumbe unaosema “Some accounts prefer manually review followers even when they are public” una maana kuwa baadhi ya akaunti zimeweka mipangilio/privacy terms ya kiusalama au faragha inayoruhusu wamiliki wa akaunti hizo kupitia manual wale wanaowafuata, hata kama akaunti zao ni za umma...
  3. M

    Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

    reports suggest that users can follow between 100 to 200 accounts per day, depending on their account's activity and history. Exceeding these limits might temporarily block you from following more accounts for a short period. It's recommended to keep the number moderate to avoid triggering...
  4. M

    Msaada: Jinsi ya kurudisha Google Account

    Haha hiyo oppotion kama sisi normal users hatuna uwezo wa kuifuta account zetu wenyewe, lakini kwa experience yangu kwenye systems, hiyo oppotion imeondolewa/hided ila ipo, kwa super user.
  5. M

    Msaada: Jinsi ya kurudisha Google Account

    Tumia barua pepe ya urejeshaji: Ikiwa uliweka barua pepe ya urejeshaji wakati wa kufungua akaunti, unaweza kuchagua njia ya kupata msimbo wa kuthibitisha kupitia barua pepe hiyo badala ya namba ya simu. Maswali ya usalama: Wakati mwingine, Google inaweza kukuuliza maswali ya usalama ambayo...
  6. M

    Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

    Kwani kwa siku una follow watu wangapi, ? Maana Instagram Wana limitations.
  7. M

    JWTZ latangaza ajira mpya

    Soma vizur mkuu. Ni kwa njia ya posta
  8. M

    Kwa sasa nchini Tanzania tuna watu wazuri katika IT au tunaweza kuziita computer issues

    Jamani IT,sio programmers pekee, japo huko ndiko chimbuko la kila information technology. Networking, database, AI etc Mleta Uzi , Kuna jambo ulitaka ku propose, Mimi nilikuwa nafikiri kuwe na online platform ya ma IT, wa bongo. Kwa ajili ya display ya bunifu zao, ikilenga sekta mbalimbali...
  9. M

    SoC04 Uchumi wa Buluu: Serikali iwawezeshe wananchi kumiliki shughuli za uvuvi

    Wavuvi wa kitanzania wawezeshwe kuumiliki uchumi wa Buluu kwenye sekta ya uvuvi, kwa kuvua samaki kisasa, kuwachakata viwandani (kuwaongezea Thamani), na Wao Wavuvi wa kitanzania kuwauza samaki MOJA Kwa MOJA kwenye Soko la kimataifa pasipo madalali kuwepo katikati Yao.
  10. M

    SoC04 Uchumi wa Buluu: Serikali iwawezeshe wananchi kumiliki shughuli za uvuvi

    Ukichunguza Kwa umakini, utangundua uchumi wa Buluu influence yake inatoka china, South Korea, Japan
  11. M

    SoC04 Uchumi wa Buluu: Serikali iwawezeshe wananchi kumiliki shughuli za uvuvi

    Tide-of-Injustice-SWIO-report Published April 2024 Hii report ina page 64 in English language natamani kila mtanzania aisome hii report. Kuna mambo mengi ambayo hatuyafahamu kuhusu uchumi wa Buluu unaohusiana na uvuvi.
  12. M

    SoC04 Uchumi wa Buluu: Serikali iwawezeshe wananchi kumiliki shughuli za uvuvi

    Uchumi wa Buluu kwa Tanzania tuna Maanisha ni uchumi utokanao na Anga utalii ,na vyanzo vya maji (Bahari, Mito, maziwa, chemchem). Mada yangu itajikita kwenye vyanzo vya maji na hasa uchumi wa uvuvi utokanao na Bahari na kwenye maziwa makuu ,hapa nchini. Sisi wa Tanzania kupitia serikali...
Back
Top Bottom