Jamuhuri ya muungano wa Tanzania?
Wakuu hili ni tatizo au ni afya njema, nipo na kama miezi 7 au na zaid nagombana na wife anasema usiku namuwaza mubebe wa nje ndo maan bwan dullah bichwa wazi anasimama sima usiku, kila nikijaribu kumuelezea kuwa hua sina hisia zozote za mapenzi zinazopelekea...
Jamaa alionekana muongo kuanzia kwa mchumba mpaka wazazi,na wale wajomba/shangazi waliokuja kusoma barua wameona jamaa ana dharau barua imefunguliwa kabla haijafika kwa wahusika,yaani ilikua kituko cha kiwango cha lami
hahaha umenikumbusha jamaa ang mmoja kawatuma mjomba na rafiki ake wapeleke barua ndan kaweka 35000,wamechana wamegawana kumikumi imebak 15 elfu,mbaya zaidi alishawasiliana na mtarajiwa wake kua kesho mjomba ataleta barua na nimeweka 35 tu naomba muipokeee,duuh kilichotokea balaa tupu kumbe nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.