HATUA YA KWANZA
Chukua chokaa kilo moja iliyochekechwa na kupata unga ulio safi,maji lita moja,rangi 10mls.Changanya mchanganyiko huu kwa pamoja upate uji mzito na ukoroge kwa dakika kumi na tano.
HATUA YA PILI.
Weka mchanganyiko wako katika maumbo yako ya vibox au bati ambazo zimekatwa...
Ninazo tatu za size na aina ni moja. Pamoja na kufanya hii biashara nina mirad mingine nasimamia. Sasa mashine kukaa bila kufanya kazi ni hasara bora niuze moja nikuze production kwa kununua material mengi zaidi lakin pia nina shida imenibana ndio mana naiuza pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaki inatengenezwa na gypsum powder. Haina hata complications kwenye utengenezaji. Hata ambaye hajaenda shule ni demo ya robo saa tu anaendelea mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida ni kwamba utengeneze chaki zenye kiwango kizuri ili upate soko zuri. Fanya packaging nzuri.fanya marketing. Tafuta tenda za kueleweka unapiga hela kwenye mashule. Stationeries n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.