Recent content by mikko

  1. mikko

    Biashara ya mchele

    Kama ukifanikiwa kuuona utasadiki na wala siuzi kienyej brother ni hadi wateja wangu wanapoona ndipo nafanya nao biashara ...ukihitaj unaona kwanza ndipo biashara inafuata
  2. mikko

    Biashara ya mchele

    Mimi ndo muuzaji wa huo mchele na ninaposema wa kyela ni wa kyela haswaaaa na bei YANGU ndo hyo , na uzuri ni biashara ambayo inaonekana kwa mnunuzi kabla hata hajanunua
  3. mikko

    Biashara ya mchele

    Huo n super mkuu ukihitaj wa 1700 kwa kilo sawa, 1800 sawa yan n wewe tu
  4. mikko

    Biashara ya mchele

    Jumla 1800 kwa kilo
  5. mikko

    Biashara ya mchele

    Dar maeneo y ubungo
  6. mikko

    Biashara ya mchele

    Habari wanajamii Mchele safi grade A kutoka mbeya ukihitaji wa kyela upo, wa kamsamba upo bei ni nafuu kabisaaa 1900 kwa kilo. Mawasiliano 0653623408
  7. mikko

    Wapi nitapata hisa za TBL na Swissport?

    Habari wana JF Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam
  8. mikko

    Researcher anapatikana

    Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mtu wa kufanya research kwa lugha ya kiingereza au kiswahili sehemu yoyote ile tuwasiliane
  9. mikko

    Teaching post

    Mwalimu wa economics anapatikana kwa shule au college yoyote itakayomuhitaji na yupo tayari kwa interview mda wowote Mawasiliano 0653623408
  10. mikko

    Msaada wa soko la hisa

    Asante Mr.
  11. mikko

    Msaada wa soko la hisa

    Naweza kupata mawasiliano ya solomon stockbroker Ltd tafadhalini
  12. mikko

    Kozi ya kusoma

    Zimepatikana d mbili tu form four VP naweza kwenda kuendelea kusoma kozi nyingine yoyote ile achilia mbali na kutafuta izo credit
Back
Top Bottom