Wapi nitapata hisa za TBL na Swissport?

mikko

Member
Feb 23, 2016
12
2
Habari wana JF
Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam
 
Habari wana JF
Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam
VERTEXINT INTERNATIONAL SECURITIES, Wapo jingo la ubaloz wa Zambia mtaa wa ohio posta
 
Hakuna broker maalum wa hisa za TBL na SWISSPORT mkuu. Ma broker wote unaweza kununua hizo hisa ili mradi tu kama sokoni zipo. Yaani i mean kama kuna volume ipo sokoni kwa jili ya kuuzwa unaweza kununua kwa broker yoyote. mikko
 
Back
Top Bottom