Recent content by mikiray

  1. mikiray

    JamiiForums Tanzania Notes za masomo yote zinapatikana

    Habari wa ndugu, kwa yeyote anaehitaji notes bora za kujisomea, kufundishia na pia vitini vya maswali na majibu katika masomo ya o,level na Advanced level yote yanapatikana. Tunapatikana Dar es salaam na Mbeya wasiliana nasi kwa:- +255755944311/0715644311 au +255717919200/0755662773
  2. mikiray

    JamiiForums Tanzania St:joseph university dar es salaam

    Masada mwenye majina ya second round st.joseph university dar es saam
  3. mikiray

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kufundisha basic computer

    Napatikana kwa mawasiliano 0715644311
  4. mikiray

    JamiiForums Tanzania HESLB: Notice to loan applicants to complete their applications

    Naomba niangalizie s.0603.0044.2005
  5. mikiray

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Poa mm nataka wakubadilishana nae aje ilala Mimi niende mbeya mjini
  6. mikiray

    JamiiForums Tanzania DC Makonda kanitoa machozi

    ukiona watawala wanampenda mpinzani ujue kuna kitu anaunufaisha utawala
  7. mikiray

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    farida estoni,frank madukwa,Benitho mwankenja
  8. mikiray

    JamiiForums Tanzania St.Joseph yawasimamisha wanafunzi mwaka wa pili BSE

    board inaonyesha wanashirikiana na Hawa wahindi
  9. mikiray

    JamiiForums Tanzania St.Joseph yawasimamisha wanafunzi mwaka wa pili BSE

    Takiribani wiki mbili sasa wanafunzi wa bse mwaka wa pili st.Joseph dar wamesimamishwa masomo kisa kudai meal and accomodation iliyocheleweshwa mwezi mzima na kuwafanya wanafunzi kuishi maisha magumu sana, NACTE okoa maisha ya wanafunzi hawa.
  10. mikiray

    JamiiForums Tanzania Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    Hata tabata wamekata
  11. mikiray

    JamiiForums Tanzania Hali tete kwa wanafunzi kitivo cha ualimu St.joseph university

    wanatia huruma sana
  12. mikiray

    JamiiForums Tanzania Hali tete kwa wanafunzi kitivo cha ualimu St.joseph university

    Wanafunzi wa mwaka wa pili kitivo cha ualimu imetokea wanalala na njaa na kufukuzwa kwenye nymba walizopanga kwa kukuchelewesha meal and accommodation jaman wahusika serikalini hebu liangalie hili huenda kukatokea mgomo mkali sana ambao haujawahi kutokea hapa Tanzania.
  13. mikiray

    JamiiForums Tanzania St. Joseph university in Tanzania na mkopo

    Mpaka sasa wanafunzi wa mwaka wa pili hakuna kinachozungumzwa kuhusu boom cjui wanatutakia nn maana tumehishiwa tunafukuzwa kwenye nyumba tulizopanga Kodi mkataba umekwisha,tunakula kwa taabu. Je! hii ni haki?
Back
Top Bottom